Mnachofanya Redio Free sio sawa kabisa

Mnachofanya Redio Free sio sawa kabisa

MADIBA MANDELA

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
503
Reaction score
398
Nilikua nasikiliza DW kupitia radio free leo jioni wakati watangazaji wakisoma habari za corona nchini Tanzania operator akaondoa ile habari akaweka matangazo nilikwazika sana ukizingatia kipindi cha uchaguzi uhuni kama huu ulishafanyika tena.

Sidhani kama kwa nyakati kama hizi mnasaidia au nikufunika kijinga cha Moto kwa pamba mmeniboa sana kwakweli.
 
Lawama zako zinakwenda pasipo... walaumu TCRA wamewawekea masharti magumu kama habari kwao haitawapendeza redio husika ndio inawajibika..., na usawa huu wa maisha ya kuunga unga nani anataka kupigwa fine; bora tu watuburudishe na Bongo Fleva...
 
Ugali mkuu, unataka watoto wetu wasiende chooni?
Mkuu hataki kabisa kusikia hizo habari hapa nyumbani kwake.
 
uwe unaunga bando unastream live vinginevyo watakuchosha sana
 
Back
Top Bottom