Mnachesha

Aloysius

Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
80
Reaction score
9
Hivi sa hivi ni usiku au mchana? ni mchana au ni usiku? usiku, a, a mchana ok baadae ni usiku HAMNA ni Mchana..!
 
Angalia sana Aloys siku hizi bangi wanaweka madawa ya kulevya kidogo ili uzoee na kwenda kuyanunua.
 
Mwezi mchanga. Msishangae.
 
wastue ndugu zako waambie nina adress ya milembe halafu kuna jamaa nnafahamiana nae pale mkifika hawata sumbua sana kuwapokea na kukuweka kwenye safer facility....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…