GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,622
Bado dakika 4Ikiwepo tafadhali mtanijuza Updates zake.
IpoIkiwepo tafadhali mtanijuza Updates zake.
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Saa tano yenyewe ndio hii.. YouTube kwangu haifanyi kazi 😅Ikiwepo tafadhali mtanijuza Updates zake.
Mimi sijui nimeuliza tu na naendelea kuuliza / kuwalizeni je, Press Ipo leo? Naendelea kusubiria majibu yenu ila niko mbali kama ipo tafadhali msiwe Wachoyo / Walugume kunipa Updates zake sawa?kwamba watakuwa wamenegotiate na dada yake ampigie simu asitoe press au le wanachinja?