Mna-save vipi pesa?

Pesa ndogo hiyo huku tunaiteketeza siku moja tu

Huku kanda ya ziwa!
 
PM nikupe ushauri wa bure kabisa! Hutojutia
 
Sasa nipande daladala 500, nispend 4hrs wakati bolt buku 2 dakika chache nimekamilisha safari.

Katika kitu mi sipendi na siwezi ni kuspend masaa barabarani kila jero hapana
Nimejibu ktk "Context" ya mleta mada. Kuna stage kwenye maisha inabidi ujibane sana, kuna stage kwenye maisha ni heri upoteze muda kuliko kupoteza hiyo 2000, maana ukizijumlisha kwa mwezi mzima zinafanya hesabu iwe 60k.

Kuna alternatives nyingi, kama issue ni foleni basi unaweza iepuka kwa kuwahi mapema zaidi.

Hapa sizungumzii kama una emergency, kama ukifanya kurequest ndiyo your norm basi wala usijiulize why siwezi save.
 
Nunua stock ya chakula cha kula ndani ya wiki mbili inayolingana na robo ya mshahara wako, hakikisha pesa huitoi yote benki. Ukinunua stock ya aina hiyo mara mbili ili kukamilisha wiki nne, utakuwa umetumia nusu ya mshahara wako. Matumizi ya kawaida weka 150,000. Mwisho wa mwezi unaweza ku- save robo ya mshahara mzima.
 
Karibu Sportybet ama 1XBET....Tukutunzie pesa yako!

Kama huwezi kutunza pesa yako mwenyewe...wapo hawa washua wa kukutunzia kwa hiyari!.
 
Sijui wanaume wamepewa mioyo gani kumpa mtu hela na hakudai... huku mimi kuitumia pesa yangu kwaajili yangu mwenyewevnaumia

Msingekuwepo wanaume,maisha yetu sijui yangekuaje
 
Njoo nikuoe, ili tusaidiane namna ya kusave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…