Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
mkuu Asprin taratibu mkuu hiyo spidi hiyo sio salama sana ati!
Mkuu unaniharibia move ujue.
mkuu Asprin taratibu mkuu hiyo spidi hiyo sio salama sana ati!
Mkuu unaniharibia move ujue.
Na wewe badala umsifie uliye naye unasifia maiti. Ukishaachana na mtu msahau kama maiti. Kama huna cha kumsifia uliye nae, mpige chini nae awe maiti wa kimapenzi.
Inshort kama ex wako alikuwa hana makuu na still mmeachana, basi wewe ndo una matatizo jirekebishe.
Naitwa babu ODM
aisee huwa unatengeneza Movie ngapi kwa mwezi
samahani mpendwa naingilia yasiyonihusu amesema move na sio movie.!
Mbona hujafika. Unafanya utani na ODM kumchomesha mahindi PM?
ODM nimesikitika sana
Muda mwingine najiulizaga hivi hakuna jema huko kwenye ndoa zenu!
Na wewe badala umsifie uliye naye unasifia maiti. Ukishaachana na mtu msahau kama maiti. Kama huna cha kumsifia uliye nae, mpige chini nae awe maiti wa kimapenzi.
Inshort kama ex wako alikuwa hana makuu na still mmeachana, basi wewe ndo una matatizo jirekebishe.
Naitwa babu ODM
Mtu mzima unatishiwa nyau nawe waogopa...
sio siri nafikiria kuacha kupita huku. kila uzi ukifungua unakuta habari za kusalitiana, mara nahisi anipendi mara sina feelings nae na mada zingine hasihasi kibao.
imefika kipindi naona mapenzi na ndoa ni kudanganyana mwanzo mwisho kitu kinachoweza fanya nisiyaenjoy. sikumoja moja muwe mnaweka nyuzi za jinsi mnavyowapenda wenzi wenu, mlivyowavumilia, jinsi mmejizuia kuwasaliti na ishu kama hizo.
Mkuu,ukitaka kujiunga JWTZ au JKT hupaswi kuuliza raha za jeshini ulizia challenges.
Usijifiche kwenye shamba la karanga!!
Maneno haya ayasome mleta mada...umemtolea mfano mzuri sana
kuna kuachwa hali ya kuwa unapenda lazma usifie kwani mapenzi si vita ..kizuri kipe sifa yakeNa wewe badala umsifie uliye naye unasifia maiti. Ukishaachana na mtu msahau kama maiti. Kama huna cha kumsifia uliye nae, mpige chini nae awe maiti wa kimapenzi.
Inshort kama ex wako alikuwa hana makuu na still mmeachana, basi wewe ndo una matatizo jirekebishe.
Naitwa babu ODM
imefika kipindi naona mapenzi na ndoa ni kudanganyana mwanzo mwisho kitu kinachoweza fanya nisiyaenjoy.