Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
sio siri nafikiria kuacha kupita huku. kila uzi ukifungua unakuta habari za kusalitiana, mara nahisi anipendi mara sina feelings nae na mada zingine hasihasi kibao.
imefika kipindi naona mapenzi na ndoa ni kudanganyana mwanzo mwisho kitu kinachoweza fanya nisiyaenjoy. sikumoja moja muwe mnaweka nyuzi za jinsi mnavyowapenda wenzi wenu, mlivyowavumilia, jinsi mmejizuia kuwasaliti na ishu kama hizo.