MMU Fursa BET

haaahaahaa duuh, binti kazua utratraa balaa, ni hiyo under 20 au kuna kitu kinafikiriwa lol.!

Si unajua fursa tena mkuu. Acha tutoane jasho ikibidi hata manundu yatahusika.
 
ha ha ha mtoto kanipenda mwenyewe anajua sina makuu halafu mie kijana mwenzie bhana ntakula nae ujana
 
Last edited by a moderator:
kwani annito wewe ni over 25?

karibu kwenye mtikisiko wa mapenzi!!

hahaahaa nyie mnataka wasio na experience au watumiaj wa zile sabun teh teh!?, kila la kheri
mi nafuatilia mpambano, ongeza bidii mkuu unaweza kubahatika kwa under20 lol!
 
Last edited by a moderator:
hahaahaa nyie mnataka wasio na experience au watumiaj wa zile sabun teh teh!?, kila la kheri
mi nafuatilia mpambano, ongeza bidii mkuu unaweza kubahatika kwa under20 lol!

mkuu usiwaze, labda niambie wewe hali yako ikoje, si unajua tena market competition!
annitooo!!! una jina zuri wewe!! mmmh!

hivi kwa mfano, best ako akikwambia haya maneno utajisikiaje?

Last edited by a moderator:
hahaahaa nyie mnataka wasio na experience au watumiaj wa zile sabun teh teh!?, kila la kheri
mi nafuatilia mpambano, ongeza bidii mkuu unaweza kubahatika kwa under20 lol!

abahatike hii bahati nasibu me ndo nishateka ngome kwa ushujaa
 
mmh mashiko less
 
Last edited by a moderator:
Si unajua tena bado kadogo. We kafunde tu shemeji usichoke nimekuandalia zawadi murua.

ewaa!hayo ndo maneno sasa tulia hvyo hvyo nahamia PM sasa nkirud andaa kikao cha kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…