MMU Fursa BET

We sema ulikuwa una yako si nilikuomba msamaha? Loh!! Mwanaume wewe una gubu kama ndugu wa mume
 
Last edited by a moderator:
We sema ulikuwa una yako si nilikuomba msamaha? Loh!! Mwanaume wewe una gubu kama ndugu wa mume
ha!ha!haaa na kiburi kishaanza mwe! usijal wifi angu Angelicious mi ndo mwenyeki wa watalaka njoo kwenye register buk kiingilio mia tano tuanzishe chama cha vikoba.
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
ha!ha!haa my X hubito Window7 come and see by yoself hki kibuti hataare.

Ha!ha!ha!ha!haa. Nimefurahi sana sijui kwa nini. Hebu njoo huku tukumbushie mtalaka wangu
 
Last edited by a moderator:
We sema ulikuwa una yako si nilikuomba msamaha? Loh!! Mwanaume wewe una gubu kama ndugu wa mume

Achana nae huyo shemeji. Mtoto mzuri kama wewe hupaswi kua na huyo mkurya kila siku mangumi. Njoo huku upepo unakoanzia upumzike.
 
Last edited by a moderator:
tobaa mimi tena nifanye mpango Window7 mbona bazazi hvyo jaman haya njo piemu haraka useme una sh ngap fasta nrekebishe mie ikishndikana kama kawa.

Nakuja hapo ghafla. Keep it open
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…