MMU Fursa BET

Kerebu itakuhusu tu leo.! Rudia tena nikusikie vizuri! Na hiyo mimba niliishtukia kitaambo. Mimba gani haikui hiyo.? Umekula kwa Asprin ukaone umalizie kwangu eeh. Jipu njoo uchukue fursa yako huku
hapana nimempokea bwana ni kiumbe kipya Window7 we ni kaka angu katika bwana
 
Last edited by a moderator:

I am so sory mahaba niue wangu jana ulimi uliteleza tu si unajua wivu sina ila roho inauma?
 
Last edited by a moderator:
paroko wangu kaniangusha asee
au ndo majaribu?
 
unaweza kutueleza kwanini Husninyo amekimbia parokiani?

kuwa muwazi la sivyo ntafungua mafaili yote hapa mbele za watu.
Husninyo yupo mbona.....sema kakukimbia #teambazazi , ila parokiani yupo, ana majukumu ya ndani zaidi sasa hivi huwezi kumwona ona

hujasikia yule mmasai sijui Phlagiey naye anataka Uparoko...mchezo? Eiyer anamjua
 
Last edited by a moderator:
Angelicious, angalia ypou may be in for a rough ride, njoo ufanyiwe maombi parokiani

cc Eiyer mwallu Excel

kijana ukiendelea kumfuatilia huyo mwanamke ntakuachia uwe nae, sawa?

sipendi confusion na headaches... ukimind sana nawachapa wote wawili.. @tinchy kaja! umefuraaaahi kwa kumpa like tu!

huko pm tunajua mlichofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…