Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 499
rudi tu bebi utakuta juice ya pera na apple zuuri kwa ajili yako mi na wewe hatugombani tunakwaruzana kidogo tu alafu yanaisha!!hasira hazijengi beb jamani.Sitakii. Tenaa. Ngoja nipge job nikirudi patachimbika.
wifi jaman usiombe mabazazi yakutane na siri zifichuke shida tupu huyu babu generator hajijui tu lakini Window7 ndo kila kituExcel my hubby kam zis way kuna kafumanizi kidogo huyu dada yako hata simuelewi kabsa juzi Window7 katangaza kuwa ndo mkewe sasa leo naona babu Asprin kaja anashanga...huo uhusiano wakati miye najua nakaribia kuitwa shangazi siku za usoni....loh yote kasababisha mango g kaleta sekeseke hapa halafu kakimbia watu wamejichukulia fursa kumbe fursa zina wenyewe.........pole my wifi J.lee ndo ukubwa huo.
sasa wote siwataki bazazi at work nyumba,gari n mijihela ushanipa n mimba sina nataft fursa nyingine eboo.
Excel my hubby kam zis way kuna kafumanizi kidogo huyu dada yako hata simuelewi kabsa
juzi Window7 katangaza kuwa ndo mkewe sasa leo naona babu Asprin kaja anashanga...huo uhusiano
wakati miye najua nakaribia kuitwa shangazi siku za usoni....loh yote kasababisha mango g kaleta sekeseke
hapa halafu kakimbia watu wamejichukulia fursa kumbe fursa zina wenyewe.........pole my wifi J.lee ndo ukubwa huo.
watu wazima hukaa jamvini na kuyamaliza babu hasira si suluhu.We jitetee tu. Lakini habari ndo ishakamilika. Kakamue majipu huko.
i love you my gentle one, your love is like milk in the Rubindi that we drank on the wedding day! What do you want me to do? I love you my gentle one.
Excel my hubby kam zis way kuna kafumanizi kidogo huyu dada yako hata simuelewi kabsa
juzi Window7 katangaza kuwa ndo mkewe sasa leo naona babu Asprin kaja anashanga...huo uhusiano
wakati miye najua nakaribia kuitwa shangazi siku za usoni....loh yote kasababisha mango g kaleta sekeseke
hapa halafu kakimbia watu wamejichukulia fursa kumbe fursa zina wenyewe.........pole my wifi J.lee ndo ukubwa huo.
mamii why these organisms are wasting our time?
take Asprin as an old man who can not produce, both socially and economically! we are responsible for his needs.. lets work.
this J.lee , Window7 and mango g plus MankaM are all street kids, i mean they are not yet grown up! let them play! they say love is a game.. so they are players!
let me and you my sweetness, take this time to sweep away poverty.. achana na mashangazi wanafiki!
no time for them really!
Stoooooop..! I love You mamii. Mwaaaah