jamani si ameniambia yeye ni wifi yangu, sasa nitaachaje kuwa karibu? mbona wanitafutia ubaya kwa nduguzo??
halafu siku mbili tatu uje useme sipendi nduguzo?
he!! kumbe wifi sikujua
wifi yangu mme mwenyewe hajanitambulisha kwa ndugu zake wote, kumbe
naweza kosa
mume hivi hivi
Excel ukitaka yaishe kabisa uje kwangu leo saa 4 ucku kuna panya untolee ndan kwangu ndo yataisha la sivyo nakugeuza ndocha.
aah wapi!! sijawahi ona mkurya anaetishwa kirahisi hivyo!
before you step up, mi ntakuwa nimeshakudondosha zamaaani kwa makofi na marungu..
kwanza, ni mganga gani atakaekubali kuniroga? ni risk sana unajua!
yeh Angelicious wifi angu hajakutambulisha Excel binamu yangu huyoo mwenzio
via take care anythng can hapeni binamu kinyama.....lolz.
sasa utajua ka mi nimetoka Tanga nakwambia ukiamka asubuh some stuffs zote hazipo na kesho valentine utashnda ndan nakwambia.
Excel ukitaka yaishe kabisa uje kwangu leo saa 4 ucku kuna panya untolee ndan kwangu ndo yataisha la sivyo nakugeuza ndocha.
we una kwako au unaishi vichakani? au stendi kuu ya ubungo!? hahaaaa!!
kama unataka uhamisho wa muda, useme tukupe maturubai ya UNHCR ujihifadhi!
unaujua ule wimbo wa magube gube? dedication yako!!
nampenda sana waif Angelicious! afu nataka Window7 awe mkata majani wetu.. Jipu awe mlisha mbwa na kuku!
mtatosha tu!!
tanga? aah wapi!
tanga naijua mwanza mwisho..!
kuanzia MAKORORA, MAKANGARA KUANZIA KWA MCHAWI MKUU MAJI MAREFU.. WOOTE HAO NAWAPATA!!
HAO WACHAWI WENU WOOTE NILISHAWAACHIA ALAMA ZA ALAMA ZA MAPANGA VISOGONI!
iam unrogable!!
we una kwako au unaishi
vichakani? au stendi kuu ya ubungo!? hahaaaa!!
kama unataka uhamisho wa muda, useme tukupe maturubai ya UNHCR
ujihifadhi!
unaujua ule wimbo wa magube gube? dedication yako!!
nampenda sana waif Angelicious! afu nataka
Window7 awe mkata majani wetu..
Jipu awe mlisha mbwa na kuku!
mtatosha tu!!
ha!ha!ha!haaa uuwi eti unrogabe jaman dah!
Mmmhh!!! Binamu nyama
ya hamu tena lolz.... au ndo mana akajitetea nikae na wewe mbali eti
ulitaka kumroga kumbe ana yake. Leo atanitambua hamna unyumba wala
nini
ha!ha!ha!haaaaa! baada ya kukupa nyumba ye2 isiyoisha ulinde umeanza nyodo si ndio bebi Window7 naomba uje tumpore huyu asohaya.
kawaulize wenzio!!
walipanga ratiba kwenda kuniroga tanga wakajikuta wako musoma vijijini!!!
hahahaaa!!! usiwaze kabisa..
Mwaaaaa!!!! Love you babito wangu
ha!ha!haa viita ni vita mura aafu kuna story ntakupiemu best t's true story
heee!!! unikome unikome!!
pm ni kwa ajili ya mke wangu Angelicious tu!
kama una shida ya pesa ya kula jioni hii useme tukupe laki kwa ajili ya dinner tu!! sio vinginevyo!!