Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 499
Haruhusiwi huyo. Labda wewe unaweza kutoa malezo maalumu tena tukiwa sehemu maalumu.
Ndo mana nakupenda
unajua kunibembeleza hata kama danganya toto, thanks mahabuba wangu
miye wala sina pressure na hao majirani
jirani mbona kelele hivi? hizi si dalili za kulala njaa hizi?
my sweetest, my baby, my heart.. my everything..! my angel..! my Angelicious!
usiwe na wivu baby na huyu..! hata chembe ubavu wangu! she is just a simple neighbor!
atuache tulale kulaleki!!
Angelicious wangu nnae mjua au? aisee ntakata mtu kiwiliwili hapa!!Utakua na mimi. Ondoa shaka
baby!!! come on.. mijitu kama Window7. we uwe unapiga tu halafu mi ntakuja kulipa!!
usiendeshwe na low living standard kama huyu!!
he/she dont deserve to be with you... !
Apology to me young deadly boy. Ungejua now nakula bata na kifaa kipya. Mrembo J.lee jicho linaomba po! Na kwa taarifa tu next wkend tutakua pale Sinza EAIVADA tukijiachia huku tukiwa pasport size.
eh!ndo yale yale ya maama bhoke rara nikurare!!!ha!ha!ha!haaa
Apology to me young deadly
boy. Ungejua now nakula bata na kifaa kipya. Mrembo
J.lee jicho linaomba po! Na kwa taarifa tu next
wkend tutakua pale Sinza EAIVADA tukijiachia huku tukiwa pasport
size.
kausha basi, si unaona waifu alikuwa amemaind bana!!
we unafikiri ningemtulizaje pale?
good morning mahaba niue wangu Excel!! kumbeeee!!! una vidumu ya pembeni nikiwa sipo
mnabembelezana nikiwepo ndo unajidai ooohh!!! we wangu tu blah blah blah.......
wifi Angelicious mi jirani tu usijali jaman karibu kwangu ukija kumtembelea Excel
mke wangu jirani kaja kuomba moto, kanitishia kuniroga...
hivi neno jema hilo? ningejiteteaje?
J.lee si mtu mzuri.. kaa nae mbali, mi mwenyewe nimesema tu hivyo ili nijinusuru kutoka kwenye dimbwi la kugeuzwa ndondocha!!