ha ha ha!!!! kweli mahaba niue ndo mana nikasema chai ya kike ndo chai yenye tangawizi. nishamaliza miye njoo huku unifute
Goodmorning queen of my heart!
Umeamkaje kipenzi changu!?
Leo nimehisi uko na mimi kabisa, tena na limvua loote la leo, mmh! Things did go easily!
Btw, niambie wangu wa moyo, nashukuru saana kwa dedication yako ya valentine! IT IS VERY ROMANTIC AS YOU SWEETHEART!
mimi sasa ntakipiga maofi ya nanii..!! teh.. teh..!
kikizingua na mimi ntakipigha kabhisa!!
Goodmorning queen of my heart!
Umeamkaje kipenzi changu!?
Leo nimehisi uko na mimi kabisa, tena na limvua loote la leo, mmh! Things did go easily!
Btw, niambie wangu wa moyo, nashukuru saana kwa dedication yako ya valentine! IT IS VERY ROMANTIC AS YOU SWEETHEART!
Sasa huu ni wivu au?? Excel njoo huku unitolee maelezo please maana sielewi elewi ati
Good morning!!! Mahaba nitoe roho yangu miye, hope uko poa
baby nimeamka!
kwa mahaba ulonipa, nimepagawa!
kwa vurugu patashika, punguza kidogo!
baby nimeamka!
kwa mahaba ulonipa, nimepagawa!
kwa vurugu patashika, punguza kidogo!
Ndo mana nakupenda unajua kunibembeleza hata kama danganya toto, thanks mahabuba wangu miye wala sina pressure na hao majirani
Na mengine kadhalika mtoto si unanielewa..........hapo hapo uliposhika.....
Naona unajipa promo kiaina kijana.. Kaa mbali na wake za watu