MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,109
Reaction score
3,054
Ujio wa under 20 mango g umeleta competition kubwa sana kwa vijana hapa MMU. Kilichonistua hata mkongwe kama Asprin nae anakanyatia haka ka binti kenye swarga za ha. Yaani dia kanaita diha mwe!

Hawa hapa wametanagaza nia mpaka sasa:

alphonce.NET


lilie
ndio

victoria
wa happy

Shamkware


Jipu


Polisi jamii
nae ameshindwa kuficha hisia zake kwa under 20.

Dea
ta ndio kabisa mpaka chozi linamtoka kwa under 20.

Bila kumsahau
Prince Akeem nae katoroka Zamunda kafuata under 20 bongo.

Nimesikitika kuona mdogo wangu Excel amekua mshauri badala yakuchukua fursa.

Heshima kwa Mchungaji Eiyer , Swts na miss neddy kwakumpa ushauri mwema lakini tafadhali hapa kwenye bet mmuachie mwenyewe achague papaa lakumlea.Si unajua Jamii forums party second version iko arround.

Ninachokuomba dia mango g njoo ututajie nani atakufaa kati yetu.

Usisahau hata mimi Window7 nimetangaza nia.


________________________________________


Updates
29/01/2018
===>>

Binti mrembo mango g amekubali kua wangu.. Natangaza rasmi she's mine.

Wale Bachelors endeleeeni kukamata fursa kwa wengine kupitia uzi huu watoto wazuri wapo wengi MMU kikubwa achia pochi tu pm.
 
Kwa hiyo sifai kua mjumbe sio? Mkuu naona unataka kuninyima fursa.

Wewe ni mwenyekiti wa tume, utatutangazia atakaye fanikiwa kuchaguliwa na ze katoto ka mango g

Heeeeeee, fursaaa??? Fursa??? na referee ana take sides?? Aigooooooo
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa watu mmemdaka fasta jamani! Eh mango g mdogo wangu..em tunza bikra yako siku ya harusi dada zako nasie tujimwage
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa watu mmemdaka fasta jamani! Eh mango g mdogo wangu..em tunza bikra yako siku ya harusi dada zako nasie tujimwage

Kumbe anayo eeh?!!? Basi itakua fursa juu ya fursa.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mwenyekiti wa tume, utatutangazia atakaye fanikiwa kuchaguliwa na ze katoto ka mango g

Heeeeeee, fursaaa??? Fursa??? na referee ana take sides?? Aigooooooo

Unaninyima haki yangu yakubet mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mbona sielewi kinachoendelea hapa

tafuta thread inaitwa
ahsanten kwa ushauri pia naomba na mimi mnipokeee kama sijakosea
kuna kabinti kanitaka kusababisha watu wachaniane mashati hapa
kisa kamesema kako under 20
so kako wanted na mabazazi wa mmu
wanaipigania hiyo namba
 
kelele kumbe unataka kutoa ya moyoni domo langu hili khaaaa...
 
Back
Top Bottom