mmu exclusive na @lara i


heheh Kongosho zidisha maombi watu wasipewe uinvisible.
Hongera mamii jf ni kila kitu.
Ukiambiwa face to face meeting na celebrity yoyote Bongo Tanz utapenda meet na nani?and why?
 
Last edited by a moderator:
heheh Kongosho zidisha maombi watu wasipewe uinvisible.
Hongera mamii jf ni kila kitu.
Ukiambiwa face to face meeting na celebrity yoyote Bongo Tanz utapenda meet na nani?and why?
rostam aziz aisee au manji najua pale mkono mtupu haulambwi hao wengine uzushi mtupu!
 
mi nalala kwa herini.nashukuruni kwa ushirikiano
 
sijalala mie Smile. Nashindwaga kulala bila mai hazibendi wangu. Akisafirigi huwa nashindwa kulala until very late.
Wewe bwana wala hujafunguka. Maswali mengi yako pending. Unabania. Ukiamua kujilipua jilipue tu kama mbwai mbwai tu.
 
Last edited by a moderator:
Smile,

Napenda kukuuliza ni swali gani ungependa nikuulize?
 
je umeshawahi kutoa mimba? najua jibu litakua hapana, kama ni hapana je unatumia njia gani kuzuia mimba zisizotarajiwa??
 

hapo blue ndio nataka nielewe........
 
je umeshawahi kutoa mimba? najua jibu litakua hapana, kama ni hapana je unatumia njia gani kuzuia mimba zisizotarajiwa??
sijawai kushika mimba .so sijawai kutoa.kuhusu kuzuia mimba mbona ni simple tu nahesabu tarehe...tendo la ndoa nafanya nikiwa nimejipanga.hata nikibeba mimba ujue siku hiyo nimepangilia
 
sijalala mie Smile. Nashindwaga kulala bila mai hazibendi wangu. Akisafirigi huwa nashindwa kulala until very late.
Wewe bwana wala hujafunguka. Maswali mengi yako pending. Unabania. Ukiamua kujilipua jilipue tu kama mbwai mbwai tu.
ahahaaaa nikuulize kitu
 

Smile hiyo picha kwene avatar ni wewe? hasante ni hilo tu.
 
sijawai kushika mimba .so sijawai kutoa.kuhusu kuzuia mimba mbona ni simple tu nahesabu tarehe...tendo la ndoa nafanya nikiwa nimejipanga.hata nikibeba mimba ujue siku hiyo nimepangilia

Kwa hiyo kifupi unapiga acapela a.k.a pekupeku!
 
ndio ni mimi .hapo ni tar 13 .3 2013

Umesimama kinoma.....basi sawa , sina mengi maana ulisha kataa PM. Nimefata muongozo wako.
Ila kanuni ya MMU ibara ya 13 kipengele A, kinasema mtu anaweza kuMP mtu endapo tu atakua amevutiwa kutokana na maneno mazuri au sexy picture iliyoko kwene Avatar ya mlengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…