hapana aisee ,huwa nina machozi sana ila sijawai kutoa chozi kwa ajili ya mwanaume.ila moyo huwa unauma kindani ndani yaani uchungu ule wa kufa .ni noma
ni noma huyo jamaa anakula nyama ya nyuki
hapana aisee ,huwa nina machozi sana ila sijawai kutoa chozi kwa ajili ya mwanaume.ila moyo huwa unauma kindani ndani yaani uchungu ule wa kufa .ni noma
Hiyo staili ni noma mi mwenyewe kipotabo ila kidogo inivunje mkono cku1
kupenda nilishapenda ila siwezi mtolea mtu chozi aisee. mimi nina moyo mgumu sana.sipendi kulazimisha mambo.kama ipo ipo tu.kama haipo ikwende kule,Kwi kwi we ni noumeeer,basi hujawahi penda ,unavutiwa na mwanaume mwenye sifa zipi?binafsi wanaume wembamba ndo ugonjwa wangu
Kama hujaolewa inamana utamu na tabia zako hazionyeshi unafaa kua wife material! ?
kwani mtu anazaliwa akiwa ameolewa? si mtu anaolewa humu humu duniani? au sijakuelewa ! unadhani nilitakiwa niwe nimeolewa? if yes kwanini unadhani hivo?Kama hujaolewa inamana utamu na tabia zako hazionyeshi unafaa kua wife material! ?
Hahaha inaitwa iga ufe kuna ingine nitakupa jina lake kesho, yaani unajua ..... nalikisha ishu sasa, pole kwa kuumia mkono
kupenda nilishapenda ila siwezi mtolea mtu chozi aisee. mimi nina moyo mgumu sana.sipendi kulazimisha mambo.kama ipo ipo tu.kama haipo ikwende kule,
kuhusu mameni mi napenda wenye afya aisee chembamba hapana...yaani nataka mtu akinihug nienee mwilini mwake..vimbao mbao noo kwa kweli
ila matipwa tipwa nayo sipendi kabisa nasikia huwa hawana akili wapo wapo tu mimi nataka mwanaume kichwa... napenda mtu wa nkunidrive sio mimi nimdrive sasa haya manene nasikia wanakaa tu
miaka kumi ijayo ndoto yangu ni kuwa na familia ya watoto wawili,nimiliki mjengo wangu bongo ,pia carrier yangu niwe kwenye senior position , pia niwe close na MUNGU wangu zaidi ya nilivo sasa si unajua ujana tena?Hayo mabonge unayopenda yanawaza msosi2,nini ndoto zako miaka kumi ijayo?
Nilibaki kudanganya nimedondoka bafuni siwezi irudia tena
miaka kumi ijayo ndoto yangu ni kuwa na familia ya watoto wawili,nimiliki mjengo wangu bongo ,pia carrier yangu niwe kwenye senior position , pia niwe close na MUNGU wangu zaidi ya nilivo sasa si unajua ujana tena?