Tukikutana labda tuwe ndani ya mask maana wengine tupo hapa huru kabisa kwa sababu tu hatufahamiani. Napenda sana kutokujulikana ndio maana sichangii mada za mitandao kama facebook
Kama hutaki, ukikutana husemi ID yako, unakauka lakini unakutana na wenzio, sidhani kama hilo ni tatizo kwako pia, au hutaki watu wakuone? Sioni nini tabu ya kukutana.
Kula tano mkuu, mimi najuana na wana jf zaidi ya 20, sidhani kama nimebadilika katika comments zangu mimi ndio mimi na nitaendelea kua mimi. Hata nikutane na Raisi wa Inji hii