MMTC (Mbeya Medical Training Center) na haibu ya Tanzania

kularay

New Member
Jan 5, 2015
3
0
Takribani siku ya nane (8) sasa wanafunzi wa chuo cha tiba ya meno (school of dental therap) , Advanced diploma in clinic medicine na nursing school(hospital ya rufaa MBEYA) awapewi chakula cha asubui adi jioni ilihali wamelipa ada ambayo ilipandishwa na serikali ya CCM adi kufikia Tsh 985,500 wizara ya afya ipo wapi ,m'bunge wa Mbeya mjini (Sugu) wapi mkuu wa wilaya mbeya mjini au mnasubiri ufunguzi wa majengo mapya ,amtambui umuhimu wa awa watu au mnataka WAKAJIUZE na vijana wawe MASHOGA jaman mwenye mawasiliano na watu niliowataja wasaidiwe wanachuo asante naomba kuwasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom