Mtuhumiwa namba moja wa mauaji ni RPC wa Iringa.Askari wale wanapokea amri kutoka kwa wakubwa wao.Jeshini ukipewa amri na mkubwa ufanye kazi yo yote hakuna kuuliza swali inabidi utekeleze amri kwanza baada ya kumaliza ndio unauliza kwa nini.Kama alikuwepo RPC kwenye tukio na akashindwa kuzuia mauaji basi inawezekana ndiye aliyetoa amri ya kufanya hivyo.Kwa hiyo RPC wa Iringa afukuzwe kazi na kufunguliwa mashtaka ya mauaji.Hao askari wadogo tunawaonea wao wanapokea amri kutoka kwa wakubwa zao.Haiwezekani, huu ni uonezi, wanaotakiwa mahakamani ni polisi wote waliokuwepo eneo la tukio ama kwa kesi ya kujeruhi ama kusababisha mauaji ama kuua, hakuna hata mmja anayetakiwa kuachwa hapo. Lazima tupige kelele kwa hili, kuanzia rpc mbaka yule mkuu wa upelelezi wafikishwe mahakamani, nasisitiza hatakiwi kuachwa hata polisi mmoja kila mmoja ana kesi ya kujibu hapo
Hivi huyo Mlinzi wa Amani ndo nani?????/
MLINZI WA AMANI NDIO NANI? Anatokea JESHI GANI? Maana sisiem wanae kada mmoja anajiita MWANAHARAKATI WA AMANI, JE WANAMAHUSIANO YOYOTE NA HUYU MLINZI? It sound like twins!
hakimu yoyote yule. hata wa mahakama ya mwanzo.
Kamuhanda yupo wapi? Na iweje apelekwe mahakamani kabla TUME YA NCHIMBI HAIJATOA MAJIBU? Polisi Wamekurupuka!
Tume ya kazi gani wakati ushahidi wote uko wazi?
MLINZI WA AMANI NDIO NANI? Anatokea JESHI GANI? Maana sisiem wanae kada mmoja anajiita MWANAHARAKATI WA AMANI, JE WANAMAHUSIANO YOYOTE NA HUYU MLINZI? It sound like twins!
Hivi huyo Mlinzi wa Amani ndo nani?????/
Kwa Kiingereza anaitwa justice of peace,ni hakimu wa primary court au mtendaji kata etc.Kisheria anaruhusiwa kuchukua confession ambayo uwa tendered mahakamani kama kielelezo.