Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,480
- 30,152
What do u mean? Unamuhitaji baba Mwanaisha, naye apelekwe, kizimbani??!!Mi namtaka yule shetani wao Mkubwa ndio apelekwe

Hivi huyo Mlinzi wa Amani ndo nani?????/

lakini tunaambiwa huyu jamaa alipelekwa kwa mlinzi wa amani since last week kwa mahojiano, na leo ndo tunaambiwa kapelekwa mahakamani, so unataka kusema kuwa huyu jamaa alipelekwa kwa huyo hakimu last week kwa mahojiano??? Ina maana nowdays watuhumiwa wanapelekwa kwa mahakimu kwa mahojiano.
Bado swali halijajibiwa hapa, huyu mlinzi wa amani ni mdudu gani????
What do u mean? Unamuhitaji baba Mwanaisha, naye apelekwe, kizimbani??!!
Kamuhanda yupo wapi? Na iweje apelekwe mahakamani kabla TUME YA NCHIMBI HAIJATOA MAJIBU? Polisi Wamekurupuka!
I can smell something fishy here!!!
Habri niliyoipata hivi punde nikiwa mjini Iringa ni kuwa askari mmoja kati ya sita waliokamatwa amefikishwa mahakamani,ni yule aliyefyatua bomu.Wengine watano ambao nao walimpa kipondo marehemu wameachiwa.
Hii inatokana na maombi ya mtuhumiwa mwenyewe kuwa yeye ndiye aliyeua na wengine waachiwe.Kutokana na ombi ilo alipelekwa kwa mlinzi wa amani Ijumaa na confession yake kuchukuliwa na mlinzi wa amani.Leo hii kapelekwa mahakamani.
Wadau tisijadili ili suala kwani tayari liko mahakamani, lakini naona haki haijatendeka inabidi na hao watano na RPC wao nao washitakiwe.
Mmmh?ivi watuhumiwa katika kesi huachiwa baada ya mwenzao kukiri uhalifu au huachiwa kama mahakama ikichunguza na kugundua hawana makosa??embu wanasheria tusaidieni hapo!!!Habri niliyoipata hivi punde nikiwa mjini Iringa ni kuwa askari mmoja kati ya sita waliokamatwa amefikishwa mahakamani,ni yule aliyefyatua bomu.Wengine watano ambao nao walimpa kipondo marehemu wameachiwa.