Na hawawezi kufa kwa wakati mmoja lazima mmoja aanzeLazima wote wafe
Chura hua anazama kwenye maji kwa muda mrefu pia. Haiwezi msaidia?Chura ataishiwa na pumzi kwasababu pua na mdomo wake tayari uko ndani ya kinywa cha Korongo
Korongo pamoja na hiyo kabari ya Chura pua zake ziko wazi
Daah! Kweli aisee!!😂😂Chura hua anazama kwenye maji kwa muda mrefu pia. Haiwezi msaidia?
Huyo bata tayari jicho limelegea
Lakini si anauwezo wa kutumia oksijeni iliyo kwenye maji, ngozi yake inauwezo huo. Je, inaweza pia kujichotea oksijeni hewani? Kama ndio, korongo kwisha habari yake.Chura hua anazama kwenye maji kwa muda mrefu pia. Haiwezi msaidia?
Huyo bata tayari jicho limelegea
Naamkwani hili swali bado liko valid hadi leo?