GE2010 Mmmmmh...

Hahahahaha wadanganyika mtaendelea kupoteza uhuru wenu wa kupata viongozi bora.
 
mwongo huyo ana interest na english, wapi huyooo?
tuwe makini ni majangiri hayoo
 
Ukiona hivyo AHADI hazitekelezeki, na wanajua hata mfanye nini KURA wataiba tuuuu
 
Ndio maana mkwere ana jeuri ya kusema kura za wafanyakazi hazimbabaishi!..Ndio walewale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…