Dhambi sio ufisadi tu! Hata kumiliki wapenzi wawili wakati wenzio hawana hata mmoja sio Ebu waonee huruma wenzako wapate japo mmoja hata kama ni USED atamflash araaaaaaa

Kama ana domo zege atasaidiwaje Dinazarde!!! Na mwenye kisu ndo mkata nyama, wewe huna kisu unataka nyama, utakataje hiyo nyama? Haonewi huruma mtu hapo, njoo na kisu ukate size yako.ππππ