Asante babu Asprin ubaya anajua mie sjamstukia ss ila kwa kuwa umeniambia nimwambie ulichosema leo lazma nimtolee uvivu nimpe makavu....!!!najua hata mwanamke uwe na uzuri kama malaika kuchitiwa kupo tu ila ndio usnifanyie mpaka nkaona vijidalili...!!!
Hapo kwa red ndipo unapojidanganya sana mpenzi wangu Mrembo by Nature.Kuna swahiba wangu mie nilishamsoma long timeeeee, basi namchora tu. Simu yake full password, mie nilishamtoa moyoni, sasa nabaki namchora tu nakula vyake na ananifanyia yangu while nikipass time kumpata wa ukweli. Nikiwa nae anazima simu full time, basi ikiwashwa hata iite vipi hapokei, basi ikitokea akapokea tu wadada wanavyouliza why alizima, anabaki kuwadanganyia na wao wanakubali na kukaa kimya.......wanaume wamezidi kuwa play wanawake jaman!ukiona hivi hata usisubiri ondoka kungali asubuhi, kama utabaki basi iwe mguu mmoja ndani mmoja nje
Haaa....!we babu ww?mie nawaogopa @cacio Yummy na hasa BADILI TABIA nsije nkaiona jf chungu bure kipindi cha mpito kitapita tu siunajua siku hazigandi?Ewaaaa....... hapo mjukuu wangu umenena neno.
Ngoja nimwalike babu mwenzangu Dark City aje akugongee LIKE kwenye hii yuziful post.
BTW sasa utakapommwaga chini huyo Mwanaizaya, utaitiije kiu yako kipindi cha mpito. Japokuwa nna mke mzuri sana, lakini mi ni babu mwenye huruma. Nawasaidia wapweke buuure bileshi. Hebu kam zis wei tutete jambo la kheri.
Hii post naomba kwa Mungu my wifey materials cacico, Yummy na BADILI TABIA pamoja na my ex ex ex Kongosho, sousi Kongosho wasiisome.
Hapo kwa red ndipo unapojidanganya sana mpenzi wangu Mrembo by Nature.
Hapo tu ndipo unapojidanganya! Sana!
Sasa ungejua BADILI TABIA ndo mwepesi kuliko wote wala hata usingemhofu. BTW hebu twende PM kwanza tukazoze jinsi ya kumwadabisha huyo mwanaizaya. Unaonaje tukimfanyia mpango wa kutufumania? Aumie roho mpaka ashindwe kwenda haja kubwa kudadadadadeki.Haaa....!we babu ww?mie nawaogopa @cacio Yummy na hasa BADILI TABIA nsije nkaiona jf chungu bure kipindi cha mpito kitapita tu siunajua siku hazigandi?
hahahahaha kamchezo ka wadada/wakaka wa mjini...ana wapenzi zaidi ya wawili unafikiri atakua na uhuru na simu zake?akiiacha wazi atapigiwa utanzan uko karibu na customer care wa tigo.pole
Angalia unapojidanganya hapo kwa red....Najidanganya kivipi? sasa ukimjua muongo why ushindane nae? la muhimu unakaa kwa lengo maalum then sepa ukipata upenyo
By the time unampata the right guy, tayari ushayakanyaga mawaya siku nyiiiiiingi!:confused2::confused2::confused2:Kuna swahiba wangu mie nilishamsoma long timeeeee, basi namchora tu. Simu yake full password, mie nilishamtoa moyoni, sasa nabaki namchora tu nakula vyake na ananifanyia yangu while nikipass time kumpata wa ukweli. Nikiwa nae anazima simu full time, basi ikiwashwa hata iite vipi hapokei, basi ikitokea akapokea tu wadada wanavyouliza why alizima, anabaki kuwadanganyia na wao wanakubali na kukaa kimya.......wanaume wamezidi kuwa play wanawake jaman!ukiona hivi hata usisubiri ondoka kungali asubuhi, kama utabaki basi iwe mguu mmoja ndani mmoja nje
Sasa ungejua BADILI TABIA ndo mwepesi kuliko wote wala hata usingemhofu. BTW hebu twende PM kwanza tukazoze jinsi ya kumwadabisha huyo mwanaizaya. Unaonaje tukimfanyia mpango wa kutufumania? Aumie roho mpaka ashindwe kwenda haja kubwa kudadadadadeki.
Afu tukinogewa tunaanzisha uchumba wa hiari....:A S 100::A S 100::A S 100:
Sasa ungejua BADILI TABIA ndo mwepesi kuliko wote wala hata usingemhofu. BTW hebu twende PM kwanza tukazoze jinsi ya kumwadabisha huyo mwanaizaya. Unaonaje tukimfanyia mpango wa kutufumania? Aumie roho mpaka ashindwe kwenda haja kubwa kudadadadadeki.
Afu tukinogewa tunaanzisha uchumba wa hiari....:A S 100::A S 100::A S 100:
Tatizo lako we mchoyo. Mi mtoto wa mwanamke mwenzio ujue. Na mtoto wa mwanamke mwenzio shurti umpende. Ebo!Hahahahahahahahahaa!!!!we babu@asprin unataka kunifundisha tabia gani ss ntafumania wa ngapi??maana safari bado ndefu...??
Angalia unapojidanganya hapo kwa red....
By the time unampata the right guy, tayari ushayakanyaga mawaya siku nyiiiiiingi!:confused2::confused2::confused2:
sasa wewe uko kwenye kundi gani hapo??
Hajakukopa lakini?maana ukikopwa ndo unakua mkali zaidi
Ha ha haa,nimejikuta nacheka hadi watu wamenishangaa hapaMkopo noumer, mdada hana noma kwa wengine ni finca, hawana mchezo kabisa! Ingekuwa wa pride.....hadi makochi wanachukua kwenda kuyauza deni lilipwe lol