Ujanja wake uko wapi jamaa wamisha tafuna tunda ROFL.
Mkuu kifaa kama hiki hata kinifanyie nini mi sikiachi!:becky::becky::becky:Nawe uwe wamfanyia hivyo hivyo, hakika utajua lengo lake la yeye kufanya akufanyiavyo...
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii simu...!!!.....na nyingine itawekwa kwenye silent mode...!!hapa kuna amani kweli???
Mara.....!!kimya siku nzimaa...!!ukipiga simu yaita tuu.....!!!haipokelewi...!!!baada ya masaa kadhaa ya ukweli ndo utaskia samahani sana baby wangu unajua nlitoka simu nkaiacha kwenye chaji ilikua haina charge hata kidogo...eeeh? na nyingine mbona ilikua haipatikani??...anashtuka haa?kwel??mbona ilikua hewani baby..!!nisameha mpenzi wangu umechukia eeh???Ptuuuuuuuuh....!!!Ngastuka...!machale kundesa....!!
I see inabidi watu tuanze kupanga foleni.Kutafuna tunda sio ishu..
Mhhhm mimi naona ya 2013 itakuwa tamu zaidi, itakuwa imesha kuwa na ki experience flani vile.Mbona umechelewa ulikuwa wapi wenzako washapanga toka 2012....!!!!
Ha ha ha Shixi889, yaani leo nimecheka ijumaa itakuwa murua!! Kwa kifupi ni alama kuwa jamaa ana mtu/watu!!! Yaani mwanaume/mwanamke wa hivyo ukikutana naye kimbia ufe!!! Kuna mmoja nilikutana naye kumbe ana kibwana chake!! Sasa siku nikiwa naye anaweka line mpya kabisa na ninafikiri haina hata wateja maana simu haipigwi hata kidogo. Ilinichukua muda kugundua baada ya kukutana kama mara nne hivi, sasa siku moja nikachukua simu yake kuangali naona TIGO badala ya VODA!! Pale pale nikamuuliza line ya VODA i wapi? Alinitolea macho kama bundi na siku ile ilikuwa ni mwisho!!! Nilimtema kama taka!!
Kiukweli kabisa mi siezi mfanyia mrembo hiyo makitu. Mi hata nikikucheat hutaweza jua. Kwanini nikuumize bana.... Kiukweli kabisa hata utakayempata usijiamini utakuwa peke yako. Namlaumu sana huyo jamaa yako kwanini amekuwa mzembe mpaka ukamstukia?We Asprin kwaiyo ww unifanyie tu hayo mie nivumilie tuu....!!!!mkuki kwa nguruwee....!!!
Kiukweli kabisa mi siezi mfanyia mrembo hiyo makitu. Mi hata nikikucheat hutaweza jua. Kwanini nikuumize bana.... Kiukweli kabisa hata utakayempata usijiamini utakuwa peke yako. Namlaumu sana huyo jamaa yako kwanini amekuwa mzembe mpaka ukamstukia?
Ukimwona leo jioni mwambie babu kamwambia shenzy taipu zake mia tatu na nusu.
CC: Kaunga, gfsonwin, Paloma, amu, Blue G, neggirl, Zion Daughter, Madame B, cacico.... Kwa taarifa
BCC: Arushaone, Filipo, Mentor, Kaizer, Bigirita, watu8, Mtambuzi Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, mwanaizaya Superman........... Kwa utekelezaji wa sera ya Kilimo Kwanza.
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii simu...!!!.....na nyingine itawekwa kwenye silent mode...!!hapa kuna amani kweli???
Mara.....!!kimya siku nzimaa...!!ukipiga simu yaita tuu.....!!!haipokelewi...!!!baada ya masaa kadhaa ya ukweli ndo utaskia samahani sana baby wangu unajua nlitoka simu nkaiacha kwenye chaji ilikua haina charge hata kidogo...eeeh? na nyingine mbona ilikua haipatikani??...anashtuka haa?kwel??mbona ilikua hewani baby..!!nisameha mpenzi wangu umechukia eeh???Ptuuuuuuuuh....!!!Ngastuka...!machale kundesa....!!
Hahaha si kweli bana. Wapo wanaume wenye mapenzi ya dhati kabisa.mmmmh???ya kweli hayo mnaanzaga hivyo hivyo wapole wenyewe mapenzi 300% na kubembelezwa 400% ila ss utapogeuka weee...mapenzi -000%