Umenichekesha sana, stuka!
Wa hivyo na wewe unmfanya hivyo hivyo, aidha FWB au NSA, hamna kuumizana vichwa
Yani baada ya muendelezo wa hako katabia kama mara 3 tu nkajua hapa hakuna kitu sikuizi ni zamu yake...!!!maisha haya ni mafupi sana niyapunguze kwa stress tena no way aisee!
Ukweli nko soo honesty soo simu zangu naweka hadharani na hata apige nani napokea tena mbele yake bila wasiwasi wowote na penda kufanya hivyo ili kujenga uaminifu...but in return ndo hayo..!!hata sihangaiki kumfanyia hivyo as long as nshamjua nw nko kimya...!!ataisoma namba...!!y acheze na hisia zangu..??Nawe uwe wamfanyia hivyo hivyo, hakika utajua lengo lake la yeye kufanya akufanyiavyo...
Ukweli nko soo honesty soo simu zangu naweka hadharani na hata apige nani napokea tena mbele yake bila wasiwasi wowote na penda kufanya hivyo ili kujenga uaminifu...but in return ndo hayo..!!hata sihangaiki kumfanyia hivyo as long as nshamjua nw nko kimya...!!ataisoma namba...!!y acheze na hisia zangu..??
Haya mambo haya....Yani baada ya muendelezo wa hako katabia kama mara 3 tu nkajua hapa hakuna kitu sikuizi ni zamu yake...!!!maisha haya ni mafupi sana niyapunguze kwa stress tena no way aisee!
Ujanja wake uko wapi jamaa wamisha tafuna tunda ROFL.Bora wewe mjanja umestuka!