Mmmmh hii kali, Sumbawanga

Mmmmh hii kali, Sumbawanga

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
282651_317644764990775_1021006346_n.jpg
 
Mbona kawaida tu, je ungeshuhudia ile ya Mwewe kula ng'ombe hewani na mifupa kudondoka chini? Kwa Sumbawanga ni kawaida sana.
 
Itakuwa yule mbunge aliyevuliwa na mahakama.........hapa anabeep kucheki hali ya hewa............
 
Hizi photoshop mnatushika masikio hiv! Acha niuchune tu
 
Imekaa kama imetengenezwa tengenezwa mtandaoni...teh teh teh
 
Acheni hizo ina maana Sumbawanga siku hizi wanaishi wahindi, mbona wahindi wenyewe bni wa kuhesabika,yupo Bojak tu ndiye mhindi kwa hiyo hapo sio sumbawanga
 
Mmh jina lako sounds familiar! Kuna mwanamke maarufu sana alijizolea sifa za kutembea na kila mwanaume enzi hizo sumbawanga.....alikuwa anakwenda kwa jina kama lako.
Hapana jamani Sumbawanga wenyeji hii
 
Back
Top Bottom