Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
hahahaha lol mi mwenyewe kula kulala jitolee basi kamtaji wii
Hahah nitoe wapi....ngosha ndo ananiweka mjini lol
hahahaha lol mi mwenyewe kula kulala jitolee basi kamtaji wii
Hahah nitoe wapi....ngosha ndo ananiweka mjini lol
miss neddy, haisaidii kuwa sad. Zaidi ya stress.
inaumaaaaaaa change ni sisi hii yote inaletwa na mfumo mbovu wa serilaini yetu
serilaini ni kilugha?