maisha kila siku nafuu jana
Ngoja sasa ni mchokoze huyu mtu
Cc Asprin
hahahaha ngoja aje sasa
pole sana funguka upewe hata ushauri
pole sana funguka upewe hata ushauri
Haha nnapoanza kusoma nlijua unasema funguka upewe hata ya kula
Sasa utakuta mtu kahangaika kutafuta ajira na hapati,wakati amemaliza kozi fulani.
Ajira zenyewe zipo kiuhamiaji uhamiaji!!!
Look around you. There are orphans with no one to turn to, sick, poor people. Do not complain- Riziki Mungu ataleta.
sad story to tell, kuna graduate mmoja kafariki j3 ya this week, leo ni tarehe 22 kafa siku moja kabla ya kupata subsistence allowance. na ndio ilikuwa mwez wa kwanza kazin first appointment na alikuwa amekaa home 4 yrs akisotea kazi pasi mafanikio ndo kaja kuipata tu kadanchiii bila ata kula ela ya kujikimu