mmmm

mmmm

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
947271_359078337553396_1763084946_n.jpg
 
goja akili itibuke harafu aone mziki wa mnyama simba
 
hapana bwana simba huwa ni mlipa fadhila sana kama ukimtoa mwiba uliomchoma mguuni basi lazima akulipe fadhila kwa kwenda kuua swala na kukuletea. ila akikuletea basi usimle wote kata nusu nusu mbakizie atakushukuru pia.
 
Duh simba latekenywa limelegea hilooo... lione ulimi wote nje!!!
 
huyu kibonge anafanywa mboga sasa ivi.....rip bonge
 
Angalieni nyuma ya huyo simba kuna wengine kibao, yawezekana ni wa kufugwa hao
 
hapana bwana simba huwa ni mlipa fadhila sana kama ukimtoa mwiba uliomchoma mguuni basi lazima akulipe fadhila kwa kwenda kuua swala na kukuletea. ila akikuletea basi usimle wote kata nusu nusu mbakizie atakushukuru pia.
Hizi ni hadithi ambazo nilikuwa napewa na babu,thubutu,utajua kwanini unaishi na mbwa na paka nyumbani na sio simba
 
huyo simba atakuwa anaumwa/mahututi. Vinginevyo pangetifuka bila jembe.
 
Simba ni wanyama wenye kupenda kupendwa pia. Simba akizoeshwa michezo hucheza kama cats wengine. Simba ni mbaya kama ana njaa! Akiwa ameshiba na mmezoeana hana tabu. Simba pia ana huruma. Kuna simba aliwahi kulelea mtoto wa choronga hadi simba mwingine mlafi akipomla. Simba hata kama mkali kiasi gani ukimkazia mcho face to face hugeuka na kuangalia mbali. Logwa umpe kisogo utajuta!
 
hapana bwana simba huwa ni mlipa fadhila sana kama ukimtoa mwiba uliomchoma mguuni basi lazima akulipe fadhila kwa kwenda kuua swala na kukuletea. ila akikuletea basi usimle wote kata nusu nusu mbakizie atakushukuru pia.
kumbe simba ndivyo alivyo hivi?
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom