mmmm hii inatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mmmm hii inatisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmzalendo, Mar 11, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Mi niliziona na nikadhibitisha CCM ni wanyama sio binadamu wa kawaida, kuanzia CEO wa Ccm ndg. Makombo hadi vibaraka wao
   
 3. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sikuwa na moyo wa kuvumilia zimeni upset siku nzima
  nilipo kuwa kazini nakumbuka
  hawa polisi wanavutishwa nini mbona ni hatari kuliko simba
   
 4. Wed

  Wed JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Asante MMzalendo.
  Video haziko kwenye protection kama ulivyosema. Compyuta yako ndiyo haina tu programme za kuweza kuikopi.

  Unaweza kwa mfano ku-install kwenye kompyuta yako programm rahisi ninayoitumia ambayo inaitwa Real Player. Nyingine zinanunuliwa ila hii hapa ni free licence. Web ninayotumia ipo kwa kifaransa !!. Naambatanisha hapa maelekezo ili uweze ku-down load hii programm na kuistall kwenye compyuta yako na baadaye uweze kukopi hizo video.

  1. Bonyeza thread hii Tlcharger Real Player sur 01net Telecharger.com

  2. Chini ya logo ya Real Player (kibox cha rangi ya buluu) utaona maandishi yasemayo "Télécharger" -

  3. Bonyeza kwenye hayo maandishi " Téléchager"

  4 Kibox kitajifungua. Ili ku-install hiyo programm kwenye compyuta yako bonyeza palipoandikwa "Exécuter"

  5. Kidirisha kingine kitajifungua, Ruhusu kwa kubonyeza "Exécuter"

  6. Kidirisha kingine kitajifungua, Ruhusu kwa kubonyeza "Accepter"

  7. Kidirisha kingine kitajifungua, kukukutaka ufunge programmes nyingine / web pages zilizofunguliwa. Funga webs zote unazo-soma na kisha bonyeza Ok

  8. Kidirisha kingine kitajifungua kukutaka uchangue anina yak u-install hiyo programm (inasomeka hivi : chosissez la confuguration de votre RealPlayer) Hapo ziko choice 3. Weka tiki kwenye kimduara cha mwisho palipoandikwa Real player de base ; ( Angalia endapo utaweka tiki kwenye miduara wa kwanza au wa pili, utahitajika kulipia. Huu wa Tatu ni wa DEZO (free programm – na naamini hutaki kununua !!).

  9. Baada ya kutimiza namba 8, kwenye bonyeza CONTINUER

  10. Dirisha linalofuata itakuwepo mistari miwili ya kuandika email yako. Hakuna haja. Achana nao. Kwenye dirisha hilo hilo, utaona sehemu mbili zilizowekewa tiki.

  11. Ondoa hizo tiki ili mduara ubaki wazi. Ondoa hizo alama za vema.

  12. Funga hako kadirisha.

  13. Litajifungua lingine. Lifunge pia.

  14. Nenda iliko-video unayotaka kukopi.

  15. Uki-point kwenye hiyo video. Utaona kadirisha kagogo ka bluu ka RealPlayer katajitokeza kwa juu. Ukikibonyeza, picha yako itaanza kurekodiwa. Itahifathiwa moja kwamoja kwenye mafaili yako ya Real-Playez kwenye compyuta yako. Yafuguwe na unaweza kuziweka kwanye CD au kuwatumia watu kama mafaili !!

  Good luck !!


  NB/ Natumaini zipo programm za Real player zilizopo kwa kiingereza. !!! Ulizia kwa wadau utaipata
   
 5. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukurani mkuu
   
Loading...