Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Shikamo bibi harusi
Kawa kama mwanasesereKweli "beauty lies in the eyes of the beholder". Sio kwa sura hiyo..
ah! Hana tofauti na nyau!Shikamo bibi harusiView attachment 742834
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo siyo Makeup.
Hiyo ni Makapu.
Habari yako mpambaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ah! Hana tofauti na nyau!
Shikamo bibi harusiView attachment 742834
Kitu gani sijui hiki... Kama sokweAnajifananisha na mwarab....yaani mtu unajichubua mpaka kucheka imekuwa shida? jamani watu wanamkosea Mungu hivi hivi bila hata kujijuwa, hata hao masheikh wanaofungisha hawa watu ndoa wanashindwa kuwakatalia kweli kwa kumkosea Mungu. Kwani weusi una nini mpaka mtu uukatae na kujichubua namna hii? Mbona bwana harusi kapendeza tu na rangi yake original?
Eroo! Abaaiya, kae moda roi? Saa hii bibi harusi inapendesa kama mama yeiyo lakini stima ikisimwa itapendesa saidi. Usho! [emoji23][emoji23][emoji23]Wamependesa hawajapendesaaa..(Kwa kimasai)