KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,400 Jan 31, 2016 #2 Wese limemuishia nini..?
K Kayagamba JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 467 Reaction score 121 Feb 1, 2016 #3 Unaagiza gari kutoka Ulaya au Japan unatamba nalo mtaani, kumbe MBWA alikuwa analitumia😀
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,549 Feb 1, 2016 #4 Kayagamba said: Unaagiza gari kutoka Ulaya au Japan unatamba nalo mtaani, kumbe MBWA alikuwa analitumia😀 Click to expand... Sio kwenye gari tu, gharama ya matunzo ya mbwa wa ulaya kwa siku ni kubwa kuliko ya mtanzania wa kawaida.
Kayagamba said: Unaagiza gari kutoka Ulaya au Japan unatamba nalo mtaani, kumbe MBWA alikuwa analitumia😀 Click to expand... Sio kwenye gari tu, gharama ya matunzo ya mbwa wa ulaya kwa siku ni kubwa kuliko ya mtanzania wa kawaida.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,913 Feb 1, 2016 #5 Kingmairo said: Sio kwenye gari tu, gharama ya matunzo ya mbwa wa ulaya kwa siku ni kubwa kuliko ya mtanzania wa kawaida. Click to expand... Kimfuko kidogo tu cha mlo wa mbwa dola 30 + tax. Mbwa anakuwa treated kama memba wa familia na akiugua familia iko tayari hata kwenda kuchukua mkopo benki kwa ajili ya operesheni. Yes, mbwa wa Ulaya ana maisha mazuri kuliko Mbongo wa kawaida!
Kingmairo said: Sio kwenye gari tu, gharama ya matunzo ya mbwa wa ulaya kwa siku ni kubwa kuliko ya mtanzania wa kawaida. Click to expand... Kimfuko kidogo tu cha mlo wa mbwa dola 30 + tax. Mbwa anakuwa treated kama memba wa familia na akiugua familia iko tayari hata kwenda kuchukua mkopo benki kwa ajili ya operesheni. Yes, mbwa wa Ulaya ana maisha mazuri kuliko Mbongo wa kawaida!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Feb 1, 2016 #6 huyu mbwa wangu anaitwa Ruby.