Ni yeye mkuu, alioa Dar bila kibali cha mke mkubwa kakaa naye sidhani kama miezi sita ilifika, mke mkubwa kustuka majuto katia tim kwa nyumba kubwa kakauka kama sio yeye, ilitoka ktk magazeti ya udaku.