Mmmh: Still loved . . .

Kipande hiki ni kizito............
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita......
Usiku niliongea nae, tukapanga niende kumwona....(distance love).....
Tukacheka....
Akaniambia jinsi anavyonipenda.....
Tukazungumzia mipango ya ndoa......
Tukaamua nikifika keshokutwa yake tupange zaidi....
Baada ya jokes za hapa na pale akanipa ushauri mzito...ushauri ambao nimekuja kuutumia na kunifaa maishani........

Nilikosa usingizi that day.......
Nikakumbuka ndoto niliyoota kama miezi mitatu nyuma....
Niliota amepata ajali na kaumia.....
Nikaiootezea.....

Kesho yake nikaamka saa kumi na moja asubuhi.....nikaghairi kwendz kanisani, ila nikawaamsha wenzangu nikawaambia waende kanisani....

Ilipotimu saa kumi na mbili nikapokea simu.....
Nikaambiwa 'fulani ' tumempoteza.....
Amepata ajali ........
Gari yake imegongana na lori.....


It took me two years to heal.....
Kwa sala na maombi.........................
Speechless!

Pole sana mpendwa BADILI TABIA.

Sina cha kuongeza.
 
unachezeiya Konnie wewe?

Akate kamba aanzie wapi? Ana jeuri?
Nimetoka kumwongeza dozi ya limbwata mwezi ulopita, siku hizi anakunywa limbwata mwenyewe.
This is my kongosho now,fiery,sio huyo hapo juu kwenye thread anayelilialilia wanaume.
mambo konnie? i can see you are now back to your senses,acha mambo ya kulilililia wanaume bana,niniliyu ziko tele mjini....
 
afu weweee.

Ngoja nikutafute pengine sio hapa.

This is my kongosho now,fiery,sio huyo hapo juu kwenye thread anayelilialilia wanaume.
mambo konnie? i can see you are now back to your senses,acha mambo ya kulilililia wanaume bana,niniliyu ziko tele mjini....
 
Dear . . .

I miss you now and my heart is sore

As time goes I miss you more

Your loving smile, your gentle face

No one can fill your vacant place



Those we love dont go away

They walk beside us every day

Unseen, unheard but always near

Still loved, still missed and very dear

(mashairi kwa hisani ya ???)

thats why I like flirting ...
 
Wewe ni mchawi, pamoja na kuchungulia UPE

Mie nimekuelewa, nashangaa in the first place ilikuwaje ukanasa. In the second place, kwenye tundu bovu.

Mie mwizi akiibiwa huwa nafanya sherehe. Nisingechungulia elimu ya UPE nahisi ningekuwa mchawi!
 
Kongosho Nikuongezee?
I remember those old days,
When you said you love me always,
But I despised coz I did not know what love is,
Now that I know what love is,
I feel happy that you are still loved,
Please come back heal my loving wound.
=
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom