Hata mimi nawaza anachowaza huyu jamaa
Hapo napoangalia jamaa kifuani!Kama unawaza anachowaza huyo jamaa tuambie unawaza nini ili tujue anachowaza jamaa.
Mbona ni mwanamke huyo pia? Hawazi chochote zaidi ya texture ya nguoHahahah....naona jamaa anathaminisha hadi midoli
Mbona ni mwanamke huyo pia? Hawazi chochote zaidi ya texture ya nguo
Sijui anawaza nini kichwani kwake!!!!!
![]()
Maumivu ya kichwa huanza taratibu...........