Mmmh KIZAZI HIKI...

Ungewaweka bakora,unakuta chumba kimoja,watu wana watt wanne,mtt ataacha kujifunza ujinga?
 
Kizazi cha .com, wanaangalia movies, tamthilia n.k wataacha kujaribisha!
 

Hahahaha....nimecheka balaa...nakumbuka kwenye kombolela mshkaji alionekana mgongo kwa juu amelalia mwenzake sasa akashindwa kutoka pale asije haribu mambo.

Ikabidi amwambie jamaa aliekuwa anatafuta aondoke manake ashamuona ili wasionekane wote. Balaa sana huo mchezo!
 
Je! Mmoja WaPo angekua mwanao ungepata muda wa kuwapiga picha? Tumia akili yako kwa usahihi bab! Kwanza una umri gani?
tatizo sio angekua mtoto wake..ishu ni kwamba ameleta mada ku raise awareness ya malezi bora kwa watoto wetu...
 

duh itabidi awatafute ultimate security kwa style hiyo ya kumoniter watoto kwa gps ni noma.
 
Ndo shida ya wazaz kulala na watoto hadi miaka 6 au 7 chumba kimoja , mda mwengine kitanda kimoja! Lazima waige.
 
tusipokuwa makini miaka kadhaa ijayo haya hayatakuwa ajabu tena. Tutapishana nao njiani wakitifuana na hatutashtuka wala kuhoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…