Mmmh Jakaya ?

Mmmh Jakaya ?

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Leo kulikuwa na sherehe za kutangaza matokeo ya SENSA ya idadi ya watu iliyofanyika hapa TANZANIA....Mhe RAIS ameongea mengi lakin lililonishangaza mimi ni pale BWANA RAIS anapowaomba wanaume wa nchi yake wapunguze kuzaa maana idadi inatisha...SWALI..kila mtanzania anatakiwa awe na watoto wangapi?? yeye kama mwanaume anawangapi? na je kwa matokeo haya yeye kama rais amejifunza nini?? labda nimsaidie tuu kiduchu kuwa watu hawana kazi, hawana hela ..kilichopo nik watanzania sasa wanauza mechi tuu nyama kwa nyama iwe kwa wapenzi wao au wake zao....
 
aonyeshe mfano, mbona yeye na uzee wote alonao bado ana vitoto vya praimare vinavyomuita baba???
 
Back
Top Bottom