Sorry kama nimekugusa
Kuwa specific mkuu, usiseme wa mikoani wote, huku kwetu Kidatu hatutumii hayo madude, hao ni wakazi wa KOLOMIJE.hapa ndipo wanaponiachaga hoi wa mkoani. Kolomije moja iyoo
Sio kweli.Hao ni Wajomba zako ndg, ulikuwa likizo nini mkuu
SIO WA MKOANI MKUU,HAONI WA KIJIJINIhapa ndipo wanaponiachaga hoi wa mkoani. Kolomije moja iyoo
mkuu angalia ndio unaharibu kabisa, utasababisha ngosha aendelee kuandika namba mpya.Bila shaka hao ni wasukuma
mammaeBila shaka hao ni wasukuma
Bila shaka wako kolomojeHa ha ha ndio hivyo jamani sijui wako wapi na ndani ni ugali na nini?