OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Ni aibu sana ktk taifa tajiri lenye kila aina ya raslimali,rais hana chopa yake ya kufanyia kazi hadi aazime au atumie ya polisi au jeshi,ccm ni majizi hadi yanajiibia menyewe!
Hizo chopa ni za kila mwanachama wa CHADEMA kwani kutoa ni kubariikiwa. unapomtolea MUNGU hupungukiwi.
Jaman wadau nimekuwa
nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa
wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
halafu mkijua mnapata tija gani mkuu? Ubishi huo ni wa wale wavivu wasioziona kazi za kufanya bali kujadili watu na mambo yao. Wenzenu wanaendelea kuchanja mbuga na kuwatimulia mavumbi. Endeleeni na taarabu wakati wenzenu ndio kwanza kunakucha.Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Hahaha hizo Chopa zinalijua Jimbo la zito zilipigwa mvua na radi nusura zianguke.
M4C together
Eeh!Nilikuwa Sijui Kumbe CHADEMA Mungu!!?
Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Inaonesha we hamnazo manake thread na majibu yako ni tofauti na mtavurugwa sana mwaka huu
chopa ndio nn?