Mmhh tumekwisha sasa!

Mmhh tumekwisha sasa!

Kizazi jeuri

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
297
Reaction score
64
Habari za jumapili wakubwa na wadogo, natumaini kila mtu yupo vizuri sana.

Nina jambo nimefikiria sana, na kwa muda mrefu bila kuwa na majibu, na kwa kuwa nimeishia darasa la saba nikaogopa sana kulileta hapa jamii forum, ila leo imetokea tu nimejipa moyo na nimeamua kulileta kama fikra zangu zinavyo nituma.

Swala lenyewe ni la ELIMU yetu Watanzania, tena ni hii Elimu ya bure. Tumeshawah kufikiria kuwa bila kulipa school fees hali itakavyo kuwa katika iki kizazi? Ulimwengu na wazazi, wazazi na mtoto na pia mtoto na ya dunia.? Kwa mfano ulimwengu na wazazi, wazazi wa sasa school fees ilikuwa inawalimit sana katika starehe, kwa kiasi wakawa watulivu, na starehe, Hesabu na kila kitu ni kwa sababu ya school fees, je ada zinatolewa wazazi watakuwa wa namna gani?

Je watoto hawa wa sasa hivi ulimpii Ada utamwambia nini akuelewe wakati heshima yote alikuwa anakupa sababu ya Ada, kwa mfano mtoto wako akakumbia mimi ni gay umri wake miaka 16 hata miaka 18 hajafika ni lugha gani ya matendo utamtishia? Wakati huo ukimfukuza anaondoka.

Madhara ya wazazi kutokulipa Ada ni makubwa sana tofauti tunavyo fikiria, mvurugano utakuwa mkubwa sana ni kama Dunia bila amri za Mungu. Ada ndio speed gavana kati ya mzazi na mtoto, mtoto na Mzazi na pia heshima itaweka katika jamii, na ushenzi utakuwa mwingi sana.

Samahanini kwa kiswahili kibaya maana nimeandika nikiwa na hamu ya bang.we.
 
Mtoto hajengwi heshima kwa ada.

Mlee mtoto wako kwenye njia iliyosahihi...atakuheshimu hata kama huna kitu
 
Kweli u are limited in a thinking ability, ndio maana LOWASA anasema inhtajika elimu kwa watanzania, hapa ndipo wenye ufinyu wa mawazo wanafikiria, watanzania tunafikiria Elimu mkoloni ccm aliotupatia miaka 53 hadi sasa (Bookish) education

Hapa tunazungumzia elimu mpya, ya Tanzania mpya tunazungumzia Elimu inayo suit Dunia ya sasa

Elimu itakayofuata misingi ya falsafa za elimu ikiwaandaa watu kulingana na uwezo wao, na makundi maalumu

👉Watu wa Cognitive
👉 watu wa Psychomotor
👉 self reliance education

Ukiwa una self-reliance education sidhani kama kwakuwa ulipi Ada basi utapeleka kwenye pombe au starehe, pombe watu wanakunywa extremely kwasababu ya Ugumu wa maisha wanasomesha kwa shida, ila watu wakipunguziwa mzigo wa elimu, wana uwezo wa kutumia mapato yao ya ziada katika uwekezaji mkubwa, pombe kwa starehe. Na kufanya maendeleo, maana elimu itakuwa imemuandaa katika hayo yote.

Mtu atasema watanzania hawawezi, hawawezi maana hawana elimu, wamebweteka, wamebweteka maana hawana elimu bora.

(nikisema elimu sio kuingia darasa la 1-7 then kidato cha 1-4) alafu chuo ukiwa umekariri history tu.

👆 hiki ndicho watanzania wengi hatujui, Elimu si kwenda msingi, sekondari tu. Kuna technical education, kuna agricultural education, kuna entrepreneurship education, Tanzania imesahaulika. Kuna elimu ya kujitambua tu, ili haya unayohofia yasiwepo, lkn hayobyote hayapo.

Ndio maana tunasema tunahtaji mfumo mpya wa elimu wenye kumgusa kila Mtanzania kwa namna moja ama nyingine kumuandaa kuishi maisha huru na kukabiriana na changamoto mpya za dunia hasa sayansi na teknolojia.

Tusichanganye cognitive na psychomotor. Kila koja itumike vema in combination tuzalishe watu bora watakao anzisha viwanda vidogo vidogo na kujiajiri, kisha tujenge uchumi imara.

LAKINI elimu yetu ya sasa tuna assume kila mtu anaweza kuwa cognitive, kila mtu anaweza kwenda mpk chuo kikuu, akisoma history, English, kiswahili nk nk.

Elimu kama elimu ni pana sana. Lazima mfumo wa elimu wa nchi yetu ufumuliwe kabisa.

Ukisoma comparative education naimani china yaweza kuwa case study nzuri ya ku dig from kubuilt our new education system.

Kuna challenges za culture lkn we can mix to suit our cultural environment.

Amka Mtanzania elimu bure inawezekana
Na Elimu bora sio hii ya CCM
 
Aiseee! Anyway.

Sijakuelewa labda, kwa hiyo ukilipa ada watoto 'hawaharibiki'? Hebu tazama watoto wa wakubwa wa nchini hapa, tena wale wenye kulipiwa na kusoma 'elimu bora', wako wapi?

Kama ukishindwa kumlea mtoto wako katika tabia njema, kwa kipato chako chochote kile(kidogo, kati, kikubwa), Tusilaumiane.

Narudia Tusilaumiane.
 
Elimu ya bure mpaka Chuo kikuu haiwezekani.lowassa anawadanganya wananchi. Ikitokea akafanya hivyo yatawekwa masharti ambayo asilimia zaidi ya 90 hawatanufaika na hiyo offer.
 
Mbona Nyerere aliweza??? Bila Madini, Gesi wala Mafuta!
 
Kweli u are limited in a thinking ability, ndio maana LOWASA anasema inhtajika elimu kwa watanzania, hapa ndipo wenye ufinyu wa mawazo wanafikiria, watanzania tunafikiria Elimu mkoloni ccm aliotupatia miaka 53 hadi sasa (Bookish) education

Hapa tunazungumzia elimu mpya, ya Tanzania mpya tunazungumzia Elimu inayo suit Dunia ya sasa

Elimu itakayofuata misingi ya falsafa za elimu ikiwaandaa watu kulingana na uwezo wao, na makundi maalumu

í-½í±‰Watu wa Cognitive
í-½í±‰ watu wa Psychomotor
í-½í±‰ self reliance education

Ukiwa una self-reliance education sidhani kama kwakuwa ulipi Ada basi utapeleka kwenye pombe au starehe, pombe watu wanakunywa extremely kwasababu ya Ugumu wa maisha wanasomesha kwa shida, ila watu wakipunguziwa mzigo wa elimu, wana uwezo wa kutumia mapato yao ya ziada katika uwekezaji mkubwa, pombe kwa starehe. Na kufanya maendeleo, maana elimu itakuwa imemuandaa katika hayo yote.

Mtu atasema watanzania hawawezi, hawawezi maana hawana elimu, wamebweteka, wamebweteka maana hawana elimu bora.

(nikisema elimu sio kuingia darasa la 1-7 then kidato cha 1-4) alafu chuo ukiwa umekariri history tu.

í-½í±† hiki ndicho watanzania wengi hatujui, Elimu si kwenda msingi, sekondari tu. Kuna technical education, kuna agricultural education, kuna entrepreneurship education, Tanzania imesahaulika. Kuna elimu ya kujitambua tu, ili haya unayohofia yasiwepo, lkn hayobyote hayapo.

Ndio maana tunasema tunahtaji mfumo mpya wa elimu wenye kumgusa kila Mtanzania kwa namna moja ama nyingine kumuandaa kuishi maisha huru na kukabiriana na changamoto mpya za dunia hasa sayansi na teknolojia.

Tusichanganye cognitive na psychomotor. Kila koja itumike vema in combination tuzalishe watu bora watakao anzisha viwanda vidogo vidogo na kujiajiri, kisha tujenge uchumi imara.

LAKINI elimu yetu ya sasa tuna assume kila mtu anaweza kuwa cognitive, kila mtu anaweza kwenda mpk chuo kikuu, akisoma history, English, kiswahili nk nk.

Elimu kama elimu ni pana sana. Lazima mfumo wa elimu wa nchi yetu ufumuliwe kabisa.

Ukisoma comparative education naimani china yaweza kuwa case study nzuri ya ku dig from kubuilt our new education system.

Kuna challenges za culture lkn we can mix to suit our cultural environment.

Amka Mtanzania elimu bure inawezekana
Na Elimu bora sio hii ya CCM

Pumba tupu plus mavi debe
 
elimu utailipia kivingine....unadhani makufuli ama lowasa watatoa hela zao mfukoni kusomesha watoto wenu?....

ukinunua mkate kwa 2500,,,kuku kwa elfu 50000,ndo unalipia hivyo kivingine....
na hapo ndo mtamkumbuka jk na kusema,kumbe bora wakati wa jk mambo yalikua afadhali...

kipindi hicho ukitaka kuanzisha genge la kuuza mchicha mpaka ukate leseni na mapato ulipe pia
 
Elimu ya bure mpaka Chuo kikuu haiwezekani.lowassa anawadanganya wananchi. Ikitokea akafanya hivyo yatawekwa masharti ambayo asilimia zaidi ya 90 hawatanufaika na hiyo offer.

Soma hii

Trinidad and Tobago-offers free Tertiary education to its citizens up to the undergraduate level at accredited public and select private institutions. Postgraduate degrees are paid up to 50% by the Government at accredited institutions. This benefit is given to the citizens under a programme called Government Assisted Tuition Expenses Programme (GATE) and it is managed by the Funding and Grants Administration Division of the Ministry of Tertiary Education and Skills Training

Hiyo ni nchi kama Trinidad and Tobago, sikuona haja ya kukupa mifano ya nchi Tajiri.

Lakn pia kasome habari za elimu ya Cuba. Nchi ndogo kama Mauritius pia, japo hawa bado ni bure mpka Sekondari tu lkn ni nchi ndogo kulinganisha na Tanzania.
 
kwani nguo kula kulala na mengineyo atakua anavipata wapi kama c kwako so heshima iko pale pale.
 
Habari za jumapili wakubwa na wadogo, natumaini kila mtu yupo vizuri sana.

Nina jambo nimefikiria sana, na kwa muda mrefu bila kuwa na majibu, na kwa kuwa nimeishia darasa la saba nikaogopa sana kulileta hapa jamii forum, ila leo imetokea tu nimejipa moyo na nimeamua kulileta kama fikra zangu zinavyo nituma.

Swala lenyewe ni la ELIMU yetu Watanzania, tena ni hii Elimu ya bure. Tumeshawah kufikiria kuwa bila kulipa school fees hali itakavyo kuwa katika iki kizazi? Ulimwengu na wazazi, wazazi na mtoto na pia mtoto na ya dunia.? Kwa mfano ulimwengu na wazazi, wazazi wa sasa school fees ilikuwa inawalimit sana katika starehe, kwa kiasi wakawa watulivu, na starehe, Hesabu na kila kitu ni kwa sababu ya school fees, je ada zinatolewa wazazi watakuwa wa namna gani?

Je watoto hawa wa sasa hivi ulimpii Ada utamwambia nini akuelewe wakati heshima yote alikuwa anakupa sababu ya Ada, kwa mfano mtoto wako akakumbia mimi ni gay umri wake miaka 16 hata miaka 18 hajafika ni lugha gani ya matendo utamtishia? Wakati huo ukimfukuza anaondoka.

Madhara ya wazazi kutokulipa Ada ni makubwa sana tofauti tunavyo fikiria, mvurugano utakuwa mkubwa sana ni kama Dunia bila amri za Mungu. Ada ndio speed gavana kati ya mzazi na mtoto, mtoto na Mzazi na pia heshima itaweka katika jamii, na ushenzi utakuwa mwingi sana.

Samahanini kwa kiswahili kibaya maana nimeandika nikiwa na hamu ya bang.we.

Hivi we nini mbumbumbu kiasi hiki?
Ni bora la saba angeongea cha maana wewe unakaelimu kidogo ndo maana umejichetuwa.
 
Ni vyema wazazi wakatumia fedha walizokuwa wanalipa ada katika mambo mengine ya maendeleo.Wanafunzi nao waongeze juhudi katika masomo yao!
 
Habari za jumapili wakubwa na wadogo, natumaini kila mtu yupo vizuri sana.

Nina jambo nimefikiria sana, na kwa muda mrefu bila kuwa na majibu, na kwa kuwa nimeishia darasa la saba nikaogopa sana kulileta hapa jamii forum, ila leo imetokea tu nimejipa moyo na nimeamua kulileta kama fikra zangu zinavyo nituma.

Swala lenyewe ni la ELIMU yetu Watanzania, tena ni hii Elimu ya bure. Tumeshawah kufikiria kuwa bila kulipa school fees hali itakavyo kuwa katika iki kizazi? Ulimwengu na wazazi, wazazi na mtoto na pia mtoto na ya dunia.? Kwa mfano ulimwengu na wazazi, wazazi wa sasa school fees ilikuwa inawalimit sana katika starehe, kwa kiasi wakawa watulivu, na starehe, Hesabu na kila kitu ni kwa sababu ya school fees, je ada zinatolewa wazazi watakuwa wa namna gani?

Je watoto hawa wa sasa hivi ulimpii Ada utamwambia nini akuelewe wakati heshima yote alikuwa anakupa sababu ya Ada, kwa mfano mtoto wako akakumbia mimi ni gay umri wake miaka 16 hata miaka 18 hajafika ni lugha gani ya matendo utamtishia? Wakati huo ukimfukuza anaondoka.

Madhara ya wazazi kutokulipa Ada ni makubwa sana tofauti tunavyo fikiria, mvurugano utakuwa mkubwa sana ni kama Dunia bila amri za Mungu. Ada ndio speed gavana kati ya mzazi na mtoto, mtoto na Mzazi na pia heshima itaweka katika jamii, na ushenzi utakuwa mwingi sana.

Samahanini kwa kiswahili kibaya maana nimeandika nikiwa na hamu ya bang.we.

Kweli we darasa la saba....hata sikulaumu Kwa uwezo wako wakufikiri
 
mmmh laabda ungeongelea suala la elimu boraaa!!! Hivi kama hosp tu tunazoambiwa huduma ni bure sijui kwa wazee na watoto alaafu no dawaz ,unategemea hizo shule bila ada zitakuwaje?? Bila shaka michango itakuwa miingi ni sawa na mtumishi anapofanya kosa kituo flani akahamishiwa sehemu ingiineee!! Loh.
 
Sina cha kuchangia kulingana na elimu yako upo sahihi.
 
Elimu bure watafuta hiyo ada ya elfu 20 ila michango sasa bora Private
 
Mleta hii mada hajui kuwa mzazi anapopiga akili kuwa ada inamsubiri kila kitu kinamsubiri huwa anachanganyikiwa anakuwa na stress anashindwa kumhandle mtoto kwa upendo.anakimbizana anapata ada huku anamfokea mtoto .huyo
 
mimi nimeishia darasa la 5-B ila wewe inaonekana kufika hilo darasa la saba haikukusaidia ulipoteza muda tu, kwa hiyo unataka kutuambia uwepo wa ada ndio unazuia watoto kuwa mashoga? mbona hata sasa tuna mawaziri ambao si riziki na walisoma enzi zile za mwalimu ambapo kulikua hakuna ada?
 
Back
Top Bottom