Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,693
- 652
Kweli u are limited in a thinking ability, ndio maana LOWASA anasema inhtajika elimu kwa watanzania, hapa ndipo wenye ufinyu wa mawazo wanafikiria, watanzania tunafikiria Elimu mkoloni ccm aliotupatia miaka 53 hadi sasa (Bookish) education
Hapa tunazungumzia elimu mpya, ya Tanzania mpya tunazungumzia Elimu inayo suit Dunia ya sasa
Elimu itakayofuata misingi ya falsafa za elimu ikiwaandaa watu kulingana na uwezo wao, na makundi maalumu
👉Watu wa Cognitive
👉 watu wa Psychomotor
👉 self reliance education
Ukiwa una self-reliance education sidhani kama kwakuwa ulipi Ada basi utapeleka kwenye pombe au starehe, pombe watu wanakunywa extremely kwasababu ya Ugumu wa maisha wanasomesha kwa shida, ila watu wakipunguziwa mzigo wa elimu, wana uwezo wa kutumia mapato yao ya ziada katika uwekezaji mkubwa, pombe kwa starehe. Na kufanya maendeleo, maana elimu itakuwa imemuandaa katika hayo yote.
Mtu atasema watanzania hawawezi, hawawezi maana hawana elimu, wamebweteka, wamebweteka maana hawana elimu bora.
(nikisema elimu sio kuingia darasa la 1-7 then kidato cha 1-4) alafu chuo ukiwa umekariri history tu.
👆 hiki ndicho watanzania wengi hatujui, Elimu si kwenda msingi, sekondari tu. Kuna technical education, kuna agricultural education, kuna entrepreneurship education, Tanzania imesahaulika. Kuna elimu ya kujitambua tu, ili haya unayohofia yasiwepo, lkn hayobyote hayapo.
Ndio maana tunasema tunahtaji mfumo mpya wa elimu wenye kumgusa kila Mtanzania kwa namna moja ama nyingine kumuandaa kuishi maisha huru na kukabiriana na changamoto mpya za dunia hasa sayansi na teknolojia.
Tusichanganye cognitive na psychomotor. Kila koja itumike vema in combination tuzalishe watu bora watakao anzisha viwanda vidogo vidogo na kujiajiri, kisha tujenge uchumi imara.
LAKINI elimu yetu ya sasa tuna assume kila mtu anaweza kuwa cognitive, kila mtu anaweza kwenda mpk chuo kikuu, akisoma history, English, kiswahili nk nk.
Elimu kama elimu ni pana sana. Lazima mfumo wa elimu wa nchi yetu ufumuliwe kabisa.
Ukisoma comparative education naimani china yaweza kuwa case study nzuri ya ku dig from kubuilt our new education system.
Kuna challenges za culture lkn we can mix to suit our cultural environment.
Amka Mtanzania elimu bure inawezekana
Na Elimu bora sio hii ya CCM
Ni kweli kabisa umemueleza vizuri. Mzunguko wa fedha umekua mbaya sasa hivi na kuathiri biashara nyingi kutokana na mwamko mkubwa wa wazazi kusomesha kwa kuigharamia elimu. Kama ulivyomueleza ikitokea elimu imetolewa bure japo kuna kaugumu hapo, fedha ya mzazi itaingia kwenye maendeleo mengine ikiwa na makazi bora na mlo mzuri angalau.