Mmhh bongo kuna demu wa kuoa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmhh bongo kuna demu wa kuoa??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sijafulia, May 14, 2010.

 1. s

  sijafulia Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu nimepewa swali hili na kakangu ambae tangu akiwa tanzania
  alikuwa mwoga wa vitko vya mabinti wa kibongo akaniuliza bongo kuna
  mademu wa kuoa???

  Kama wapo naombeni mni PM Niwape connection
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  @@@#$^%^^&*& & Mademu ina maana gani????
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280


  sasa hapo ndio anatafuta vituko zaidi.....ajaribu kutafuta mwenyewe....na mke mwema hutoka kwa Mungu, mwambie aombe sana kwa imani yake

   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nadhani anamaanisha vicheche...hujambo lakini!
   
 5. s

  sijafulia Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijambo
  za kwako tumsaidiee jamani ama ndio contact hiyo??????preta
  tuwakilishe??
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  :confused3:
   
 7. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hakuna kuna revola tu!!! :confused3:
   
 8. s

  sijafulia Member

  #8
  May 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  heee heeee rose umpendi ndugu yangu wewe revola washazipiga marufuku zinaleta
  kansa ya u@##e wakizitumia
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nasumbuliwa na kichwa balaa, vipi nawe mzima mamii??
  Mhh kumbe maana hili jina la Demu huwa silielewagi!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  pole sana my dear....kiswahili kimekuwa kipana sana siku hizi...wanawake wanaitwa kila jina.....wanaume wao huwa hawana? au ndio kina buzi, ATM n.k?
   
 11. s

  sijafulia Member

  #11
  May 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  umeanza

  kiswahili"""""""""""KIPANA"""""

  Jamani preta upana adi kiswahili??ama ulikuwa unaamaanisha kwingine
   
 12. s

  sijafulia Member

  #12
  May 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani polee sana mungu akutie hamu ya uponyaji
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280


  sikuwa namaanisha kwingine nilikuwa namaanisha kiswahili kimetanuka kwa marefu na mapana

   
 14. ismase

  ismase Senior Member

  #14
  May 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inawezekana bongo wasichana wa kuoa ni wachache sana, wengi hawajatulia, utawaona wakiwa migongo wazi, samahani sijamsema mtu, ila nawasilisha hoja binafsi.
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  halafu na wewe hapo umenimix....hiyo ndio ikoje?
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  heeee...hivi huwa ndio hivyo eeeh?
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  May 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mnaharibu hadhi ya JF kuna siku mtu atapost anatafuta demu wa kuto%*"£$?:><"£$%^&*(()|%mba
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  May 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  uuuhh!!....God forbid
   
 19. s

  sijafulia Member

  #19
  May 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bye
  uwii yamekuwa hayo jamani!!!haya mpwa
   
 20. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #20
  May 14, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ina maana ndoa hizi za kila siku wanaolewa wa kina nani?miguberi tu?
  Huyo kaka yako si muoaji,angejua la kufanya kama anataka kuoa..Akikosa bongo ajaribu huko aliko labda ndo kuna mademu wa kuoa.
   
Loading...