Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Wewe unashindwaje kuishi na mpangaji mwenzio na vilevile mteja wake?? Inaonekana hauna kifua cha kuhold vitu sa sjui ukioa ndoa yako itaendeshwa na nani
Amani haiwezi kuwepo maana tumefichiana siri!
 
Dah kumbe unahitaji miaka kadhaa kukua
Mpaka niandike insha ndio uelewe?Imagine anapita kitaa na kunikuta na washkaji kijiweni tunapiga story,hivi hisia kwamba jamaa lazima hapo atanisema unadhani zitondoka moyoni mwake?
Yeye kahisi mazingira hayatakuwa rafiki ndio maana amesema ana mpango wa kuhama!
Ungekuwa umeconnect dots ungeshaelewa!Grow up!
 
Aki hiyo aya ya mwisho natamani usingeiweka. Inasikitisha Sana hasa kwa mwanaume anayejitambua, samahani lakini hapa sijamaanisha kwamba hujitambui!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mwana.. Maana usingemgegeda ningekuona boya.
 
Jinga sana hili, limeandika hadi jina la guest/lodge.
Alishaondoka Geita kurejea dsm ndio maana sijaona tabu kuandika,pia nimeandika ili kama kuna mdau akifika geita asinichanganye kuingia lodge hiyo kwa mapumziko maana pana vurumai kama danguro,lakini pia kama kwa wapenda huduma basi pale panafaa sana maana kuna mizigo huwa inazungukia pale kwa muhudumu kuulizia kama kuna mteja anataka huduma!
 
Aki hiyo aya ya mwisho natamani usingeiweka. Inasikitisha Sana hasa kwa mwanaume anayejitambua, samahani lakini hapa sijamaanisha kwamba hujitambui!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa nikitingwa nanunua papuchi,tokea nikiwa chuo enzi hizo UD!Ijumaa nilikuwa nikitoka pindi la jioni saa moja,niliiuwa sipandi shuttle za chuo!Nilikuwa nasogea pale ubungo mataa napanda gari za kwenda tabata/mbagala/Gongo la mboto nk ila nashukia buguruni!Pale kulikuwa kuna chimbo matata sana,naenda na kibegi changu mgongoni najipitia mzigo kama ni wa buku 3,5 au 7 naushughulikia kisha napanda gari narudi zangu mabibo hosteli kuendelea na kitabu!Enzi hizo tunawaona mademu wa chuo stress tupu,midungo kila saa ya nini?So usishangae sana kumla huyo binti!
 
Huyo dada Yuko sahihi kutokuwa na amani...maana tayari umeropoka humu ingawa huja taja jina...halafu uache tabia ya blackmail..huyo dada ulimpata kufuatia tukio Hilo kwa ku-blackmail...
 
Karibu mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…