stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Wewe nawe umeamini katika mchepuko Sasa unataka kuuhalalisha its a shame!! Mazao yanafanana sema shamba tu tofauti BAKI NJIA KUUNadhani kila mtu huvutiwa na kitu chake kwa mvulana ama msichana huwezi ww kuoa/kuolewa na mtu usiempenda alimuradi nawe uonekane uko katika ndoa . Ujuwe mtaishi bila ya mapenzi na ndoa itavunjika na mtu humpenda mtu kwa muonekano wake nami nimempenda vile alivyo kua mwanzo na sio hivi kwa kua wanawake wengi hawazingatii haya ndio ikawa wanaume wanachepuka sana na kujenga nyumba ndogo kama utapeleleza wana ndoa wengi ndio wanaosaliti ndoa zao kuliko wapenziSent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
Mimi napenda mke wangu anenepeane imeshindikana kwa namna yoyote!
Nampatia kila kitu nionacho chaweza kumsaidia lakini wapi,
Nakushangaa unavyolalamika.
Habari wana bodi.
Natumai hamjambo?
Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua mtoto wa kwanza mwaka 2009 alinenepa kiasi sikichukia sana ila nilimuambia sipendi awe mnene mambo yamezidi mara kumi alipojifungua mtoto wa 2 kawa kibonge mbuno huo tumbo limeengezeka balaa yaani hadi sijui nimfanyeje?
Mwanzoni nilikua nampangia malaji na naibana bajeti ya kula wakati tuko na mtoto 1 tena mchanga ila siku hizi siwezi maana nikibana bajeti nitaumiza watoto.
Nimemueleza kua ajipangie utaratibu na mpangilio wa vyakula lakini wapi hanielewi anaishia kuniambia kua hata alipokua mdogo alikua mnene sana alipungua alipokua mwari.
Mi kwa kweli sipendi mwanamke mnene nifanyeje?
una maana gani?
Mimi napenda mke wangu anenepeane imeshindikana kwa namna yoyote!
Nampatia kila kitu nionacho chaweza kumsaidia lakini wapi,
Nakushangaa unavyolalamika.
Umenishangaza ulivyosema ulikuwa unabana mpaka budget ya chakula! Huyu mwanamke hakuwa ana nyonyesha? Duh sipati picha ubaniwe mpaka msosi ndo umejifungua na una nyonyesha.
Mi nadhani kupungua uzito should be her personal choice if she is uncomfortable with the way she looks and not yours. Wewe unaweza mshauri but thats it. Akikatika mguu leo God forbid utauotesha mwingine? Love her the way she is