mmh hawa watoto noma

mmh hawa watoto noma

Shiwawa

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
30
Reaction score
10
Mama Mjamzito anatarajia kujifungua
Mapacha watatu, mapacha
wanadiscuss 2mboni..
1: Mi ntakuwa Fundi umeme, kuna giza
sana huku
2: Mi ntakuwa Fundi bomba kuna unyevu sana huku
3: Mi ntakuwa Mwindaji, na yule nyoka
akija tena huku, ntamkata kichwa..!
 
kwi kwi kwi huyo dogo wa mwisho ndo mkali zaid
 
Hawamuwezi nyoka hata kidogo, watatoka na nyoka Kama kawa ataingia kwa raha zake.
 
Mama Mjamzito anatarajia kujifungua
Mapacha watatu, mapacha
wanadiscuss 2mboni..
1: Mi ntakuwa Fundi umeme, kuna giza
sana huku
2: Mi ntakuwa Fundi bomba kuna unyevu sana huku
3: Mi ntakuwa Mwindaji, na yule nyoka
akija tena huku, ntamkata kichwa..!

Imetulia hiyo! Umetisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom