Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,406
Jamaa yetu yule anatarifa tusije jikuta ucku tumelala huku tumesimama.
AsanteUkicomment tu hapa ujue ela yako inatoka mfukoni kichawi inaenda kujazia hapo.shauri zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mpunga unaonekana ni marejesho ya vikoba peleka benki fasta, Mpunga ungekuwa wako usingeugrade katika 100k lazima zingekuwa zimeyooka ndani ya mkoba hata kwenye bakuli zisingegusaHazitoshi kwenye pochi nimeamua kuweka kwenye bakuliView attachment 847514View attachment 847515
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakutumia ngoja nikaweke kama laki moja kwenye mpesa ya kugawa tuhongera,nipe na mimi kidogo
Hela ya vikoba mwisho wa mwezi huu umeamua kuturusha nayo mioyoHazitoshi kwenye pochi nimeamua kuweka kwenye bakuliView attachment 847514View attachment 847515
Sent using Jamii Forums mobile app
We demiss wewe unajua mpaka nimetamani kuwithdraw hizo hela doooohHazitoshi kwenye pochi nimeamua kuweka kwenye bakuliView attachment 847514View attachment 847515
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa anazoooJamaa yetu yule anatarifa tusije jikuta ucku tumelala huku tumesimama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela za vikoba hizo atoe hapo uone kama hajafungwahongera,nipe na mimi kidogo
Kweli kabisa nimekula mgaoo wanguHuo mpunga unaonekana ni marejesho ya vikoba peleka benki fasta, Mpunga ungekuwa wako usingeugrade katika 100k lazima zingekuwa zimeyooka ndani ya mkoba hata kwenye bakuli zisingegusa
Sent using Jamii Forums mobile app