Mmeyasikia ya Mh. Kagasheki?

Boca1

Member
Jun 11, 2008
92
2
Kuna tetesi kuwa Mhe. Kagasheki hivi majuzi akiwa safarini toka jimboni kwake kwa ajiri ya uchaguzi aligonga na kuua mtu maeneo ya Nzeha. Watoa habari wanasema pia kuwa tayari I.G.P Mwema ameishaunda tume. Tunaomba wanahabari mfuatilie
 
Duh!
Mungu awape ahueni majeruhi na waliokufa awapumzishe kwa amani.

Kwa Kagasheki hiyo ni nuksi ya Kumfadhili Masilingi amshinde Prof. Tibaijuka
 
..yani hatuna hata uungwana wa kutaka kujua victims wa hiyo ajali ni kina nani, and they have been taken care of!!

..tuko more interested na kujua hatima ya kisiasa ya Balozi Kagasheki.
 
afadhali umeliona hilo. naona utu unatutupaa mkono kwa kasi kubwa.

kama taarifa hii ni kweli, mola awafariji wafiwa na wote waliohusika na tukio zima.
naamini aliyekuwa akiendesha hilo gari pamoja na abiria wengine watakuwa wamehuzunishwa
na tukio zima.
rip marehemu
 
..yani hatuna hata uungwana wa kutaka kujua victims wa hiyo ajali ni kina nani, and they have been taken care of!!

..tuko more interested na kujua hatima ya kisiasa ya Balozi Kagasheki.

Mkuu hili ndiyo tatizo kubwa mojawapo la nchi yetu kwa sasa na linakuwa entertained hata na potical establishments zote yaani Siasa mbele utu baadae.
 
Kuna tetesi kuwa Mhe. Kagasheki hivi majuzi akiwa safarini toka jimboni kwake kwa ajiri ya uchaguzi aligonga na kuua mtu maeneo ya Nzeha. Watoa habari wanasema pia kuwa tayari I.G.P Mwema ameishaunda tume. Tunaomba wanahabari mfuatilie
ni bahati mbaya kwake kuua na hatujui chanzo cha ajali kwahiyo naona habari hii imekaa kiudanu zaidi na mtoa mada anasahau kwamba hata yeye akiwa anaendesha aweza hata kuua au kufa, kwani haya mvyuma si perfect

eniwei, what goes around comes around, tutasikia mengi
 
Back
Top Bottom