Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 436
- 934
Wabongo bhana 😂Japo FB ni ya watoto
Sijui sababu ya VPN Picha na video sizioni kabisa!Kutoka kwenye jamhuri ya watu wa Facebook
Baada ya Taifa stars kunyimwa penalti
Hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa
Wake Dansa Queen Fraison maarufu Bonge la Dada
View attachment 3525753
na wew ni kama mim, ila kwangu mm, ikitokea mtu kai quote post, bac picha na videos nazionaSijui sababu ya VPN Picha na video sizioni kabisa!
Hicho mkuu ndo tunachohofia maana asije akaitwa mhainiNyie msifieni tu asije nyakuliwa kama N.Maduro mkaishia tu kutoa matamko makali ya kulaani km China na Urusi.🤣🤣
Ngoja waje wamuite mhaini
Akitekwa sisi tutasaidia kupaza sauti #free bonge la dada.Kutoka kwenye jamhuri ya watu wa Facebook
Baada ya Taifa stars kunyimwa penalti
Hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa
Wake Dansa Queen Fraison maarufu Bonge la Dada
View attachment 3525753
Anachoongelea ni kwamba Refarri aliinyima Taifa stars penaltSijui sababu ya VPN Picha na video sizioni kabisa!
Hata mimi ivo ivo inabidi wakati mwingine ni quote post kwa lazimana wew ni kama mim, ila kwangu mm, ikitokea mtu kai quote post, bac picha na videos naziona
Toba!chawa wa CCM kutoka Venezuela wanao mtetea maduro na samuya wanavyokuanglia sasaView attachment 3525765