Mmechoka, mshalala?

Mi nashangaa sana jinsia yangu inawastua nini?

Mie shemale, kwa hiyo na act according to counterpart aliyejitokeza wakati huo.

usijifanye hujui ukajitia umajinuni.
Jinsi (sio jinsia) ni utambulisho wa kwanza wa binadamu. Ndio maana ulipojifungua mtoto wa kwanza, nesi mkunga aliyempa taarifa bwanako (though mtoto ulimbambikia) alimwambia kuwa mkewe amejifungua mtoto wa ...(akataja jinsi ya mtoto).
Hakumtambulisha kwa kimo, rangi wala mbari, ila jinsi.
Sasa nakushangaa wewe unavyotaka watu wasihoji kwako kukoje.
BTW: Ungekuwa shemale kama unavyodai usingelilia ndulele zangu namna ile.
Sawasawa?
 
Miguu yako inafujo mno kama ya jogoo hasa umeme ukikatika.
akilala ntamtoroka nije, usisahau kuandaa zile dengu za kukaanga, zinasaidia kukata usingizi.

ivo ivo!
Hapo kwenye 'p' na 'h' unafanya kama sauti ya 'f' hivi...
Tukutane kule kule kwa jana tuelimishane vizuri.
Sawasawa?
 
Nani yupo macho bado? Nasheherekea kichapo cha Man Utd na kutolewa kwao pamoja na jirani yake Mancity kwenye CL. Karibuni tufurahi!
 
Nani yupo macho bado? Nasheherekea kichapo cha Man Utd na kutolewa kwao pamoja na jirani yake Mancity kwenye CL. Karibuni tufurahi!
Mi nipo ila nassuport ManU so hatuwezi kufurahi pamoja. labda tuongee mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…